Astra 2f @ 28'e, Eutelsat 16'e

VSAT

New Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
4
Reaction score
1
msaada wataalam,hizi satellite mbili hapo juu kwa hapa dar naweza kuzipata kwa dish saizi gani kila moja?na je nkiwa na dish ya ku ya cm 130,inawezekana kuset katika dish hilo moja?ahsanteni
 
msaada wataalam,hizi satellite mbili hapo juu kwa hapa dar naweza kuzipata kwa dish saizi gani kila moja?na je nkiwa na dish ya ku ya cm 130,inawezekana kuset katika dish hilo moja?ahsanteni

Canal Reunion na Parabole Reunion @16E utaweza kuwapata kwa dish la futi nne kupanda kama ndo target yako ya Eutelsat 16E

Kuhusu Astra 2f sidhani kama kwa hiyo size utaipata

Dar foot print aipo.hii mwanza,kigoma ndo unapata signal zake
 
Kuna watu dar walijaribu na cm 240 cm( futi 8) offset dish kuitafuta astra lakin waliikosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…