Astaghfirullah, ,

kuna shida gani na wewe??sisi tunamla mpaka hiyo pua,usilete mambo yako ya udini hapa
 
Aahaa, kumbe mafua ya nguruwe yalitokea hapo!!! Halafu kuna mtu amesimama anaangalia kwa nyama.
 
Aahaa, kumbe mafua ya nguruwe yalitokea hapo!!! Halafu kuna mtu amesimama anaangalia kwa nyama.

Mkuu apo kwenye Red ulimaanisha macho?? au nyuma?? au nyama?? Nadhani sahihi ni macho......
 
anamwonekano mbaya wa uchafu lakini ananyama tamu ajabu ya mungu.
 
Jamani viumbe wote wa mungu wana haki sawa si vyema kuwanyanyapaa!!khaa!!
 
Halafu wanashangaa mafua ya nguruwe yanapatikanaje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…