ASTAGHFIRULLAH Niweke wapi sura yangu kesho mie !

Kesho uje na ripoti ya yule sheikh wa mapanga 😂😂😂😂, mkaenda kumnyoa akapaka na mafuta akaja kukanusha maneno yake mwenyewe 🤠🤠

NB: siyo kukanusha tuu alikataa kuwa yule wa mwanzo sio yeye
 
Kitakachotia doa hiyo taarifa ni kuhoji sababu za kutuma watangulizi wa kuiongelea ripoti kabla ya kutoka na kutoa maneno ya kuwaandaa watu kisaikolojia

Mbona Tume nyingine hazifanyi hivyo?
 
Usiku wa Oct 31,2025 nilikuwa nachati na Mkuu wa Mkoa fulani ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa ule,tulikuwa tunajaribu "kudigest" kujua nini hasa kimetokea na nani hasa alitufikisha katika matukio yale ya Oct 29 na kuendelea.

Aliyoniambia Mkuu wangu yule niliogopa,nikasema hata huyu anaweza kufanya haya?Ndio maana nasema tu je,niweke wapi sura yangu kesho kuelekea kutangazwa kwa ripoti ya Ex-Jaji Mkuu Chande.

Kwa kifupi kuna watu watatajwa na ripoti ya kesho na Watanzania hawatoamini.Na ndio hapo watanzania wengi watajua ukweli kwamba kwanini hawa jamaa walikuwa wanaipinga hii ripoti.

Cha kushangaza zaidi kuna KANISA moja kubwa hapa Nchini lilitumia eneo lake kama uwanja wa kupanga matukio ya Oct 29.

Kesho ndio Watanzania wataweza "kuconnect dots"kwamba kwanini baadhi ya watu fulani fulani waliendelea kuishambulia Serikali mitandaoni hata baada ya Oct 29 mpaka leo.

Yule Mzee wa "Freka Fyeka Fyeka" kama namuona huko alipo.

Dah,October 29 ilikuwa na SIRI kubwa sana na bila Tume ya Ex-Jaji Mstaafu Chande Watanzania wengi tungekuwa gizani.

Kuna kijana mmoja mfuasi wa KANISA la Fyeka Fyeka Fyeka Mkoa fulani alipokamatwa simu yake ilikutwa "anachat" na KIongozi wa KANISA HILO MKOA fulani.

Walichokuwa wanapanga ni JINSI ya kutumiana FEDHA ya Mafuta kwa ajili ya choma choma yao.MESSAGE ZIPO na naamini Ex -JaJi Mkuu Chande atakuwa nazo hizo SMS.

Katika Mkoa fulani Nyanda za Juu Kusini wapo Wanyarwanda walikamatwa kwenye maandamano yale.Waziri Mkuu Mh Mwigulu Nchemba anaposema wapo watu kutoka Nje walilipwa kuja kuongeza nguvu kufanikisha MAPINDUZI yale,watu walimbeza sana.

Mwigulu hawezi kuongea VITU bila kuwa na taarifa za ndani kutoka katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Serikali.

Swali?Tuwafanye nini watu hawa?☝🏽☝🏽☝🏽
Kitu kibaya cha kuumiza kilichotokea mo29 ni mauwaji ya kimbali hayo mengine yote ni minor
 
Kwa hali hii ccm itaendelea kutawala milele
 
Au sio?
 
1776887604656.png

UMETUMWA KUSAFISHA NJIA KISHAMBA SANA
Hawa wazanzibari watafutwe na kutiwa mbaroni.
Ripoti ya Chande ni magumashi matupu.
 
JF bado haijaacha kua na nyuzi za mtindo huu?
 
Naendelea kuwapongeza wanaofuatilia CCM na upumbavu wao.
 
Usiku wa Oct 31,2025 nilikuwa nachati na Mkuu wa Mkoa fulani ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa ule,tulikuwa tunajaribu "kudigest" kujua nini hasa kimetokea na nani hasa alitufikisha katika matukio yale ya Oct 29 na kuendelea.

Aliyoniambia Mkuu wangu yule niliogopa,nikasema hata huyu anaweza kufanya haya?Ndio maana nasema tu je,niweke wapi sura yangu kesho kuelekea kutangazwa kwa ripoti ya Ex-Jaji Mkuu Chande.

Kwa kifupi kuna watu watatajwa na ripoti ya kesho na Watanzania hawatoamini.Na ndio hapo watanzania wengi watajua ukweli kwamba kwanini hawa jamaa walikuwa wanaipinga hii ripoti.

Cha kushangaza zaidi kuna KANISA moja kubwa hapa Nchini lilitumia eneo lake kama uwanja wa kupanga matukio ya Oct 29.

Kesho ndio Watanzania wataweza "kuconnect dots"kwamba kwanini baadhi ya watu fulani fulani waliendelea kuishambulia Serikali mitandaoni hata baada ya Oct 29 mpaka leo.

Yule Mzee wa "Freka Fyeka Fyeka" kama namuona huko alipo.

Dah,October 29 ilikuwa na SIRI kubwa sana na bila Tume ya Ex-Jaji Mstaafu Chande Watanzania wengi tungekuwa gizani.

Kuna kijana mmoja mfuasi wa KANISA la Fyeka Fyeka Fyeka Mkoa fulani alipokamatwa simu yake ilikutwa "anachat" na KIongozi wa KANISA HILO MKOA fulani.

Walichokuwa wanapanga ni JINSI ya kutumiana FEDHA ya Mafuta kwa ajili ya choma choma yao.MESSAGE ZIPO na naamini Ex -JaJi Mkuu Chande atakuwa nazo hizo SMS.

Katika Mkoa fulani Nyanda za Juu Kusini wapo Wanyarwanda walikamatwa kwenye maandamano yale.Waziri Mkuu Mh Mwigulu Nchemba anaposema wapo watu kutoka Nje walilipwa kuja kuongeza nguvu kufanikisha MAPINDUZI yale,watu walimbeza sana.

Mwigulu hawezi kuongea VITU bila kuwa na taarifa za ndani kutoka katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Serikali.

Swali?Tuwafanye nini watu hawa?☝🏽☝🏽☝🏽
Mtoa mada jitahidi kidogo watu wasijue kuwa huna akili , mipango ya kuua watu 29 ilipangwa na serikali Haramu maana bila kufanya hivyo walikuwa hawana Chao
Matukio ya utekaji yaliwapa hasira wananchi
Kufichuka kwa ufisadi mkubwa uliwapa hasira wananchi wakatai haki yao
Watu hawakupiga kura afu kenge zinakuja kusema 97 kashinda
Huyo raisi amekalia kiti Chenies damu ya watoto waliokuwa majumbani mwao wakicheza walipigwa risasi
Walala hoi wengi walioawa wakitafutia watoto wao Tonge wakati viongozi wamejifungia ndani na watoto wao
Kwanini watoto au ndg wa viongozi hawakufa viongozi naimani walipewa taarifa mapema kbs kuwa kuna shoot to kill masikini damu za watu wasio na hatia wamekufa vibaya kwa risasi za vichwa , tumbo, mgongoni aseee
Maiti ziko wapi?? Mtawajibu nini wananchi ?
 
Usiku wa Oct 31,2025 nilikuwa nachati na Mkuu wa Mkoa fulani ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa ule,tulikuwa tunajaribu "kudigest" kujua nini hasa kimetokea na nani hasa alitufikisha katika matukio yale ya Oct 29 na kuendelea.

Aliyoniambia Mkuu wangu yule niliogopa,nikasema hata huyu anaweza kufanya haya?Ndio maana nasema tu je,niweke wapi sura yangu kesho kuelekea kutangazwa kwa ripoti ya Ex-Jaji Mkuu Chande.

Kwa kifupi kuna watu watatajwa na ripoti ya kesho na Watanzania hawatoamini.Na ndio hapo watanzania wengi watajua ukweli kwamba kwanini hawa jamaa walikuwa wanaipinga hii ripoti.

Cha kushangaza zaidi kuna KANISA moja kubwa hapa Nchini lilitumia eneo lake kama uwanja wa kupanga matukio ya Oct 29.

Kesho ndio Watanzania wataweza "kuconnect dots"kwamba kwanini baadhi ya watu fulani fulani waliendelea kuishambulia Serikali mitandaoni hata baada ya Oct 29 mpaka leo.

Yule Mzee wa "Freka Fyeka Fyeka" kama namuona huko alipo.

Dah,October 29 ilikuwa na SIRI kubwa sana na bila Tume ya Ex-Jaji Mstaafu Chande Watanzania wengi tungekuwa gizani.

Kuna kijana mmoja mfuasi wa KANISA la Fyeka Fyeka Fyeka Mkoa fulani alipokamatwa simu yake ilikutwa "anachat" na KIongozi wa KANISA HILO MKOA fulani.

Walichokuwa wanapanga ni JINSI ya kutumiana FEDHA ya Mafuta kwa ajili ya choma choma yao.MESSAGE ZIPO na naamini Ex -JaJi Mkuu Chande atakuwa nazo hizo SMS.

Katika Mkoa fulani Nyanda za Juu Kusini wapo Wanyarwanda walikamatwa kwenye maandamano yale.Waziri Mkuu Mh Mwigulu Nchemba anaposema wapo watu kutoka Nje walilipwa kuja kuongeza nguvu kufanikisha MAPINDUZI yale,watu walimbeza sana.

Mwigulu hawezi kuongea VITU bila kuwa na taarifa za ndani kutoka katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Serikali.

Swali?Tuwafanye nini watu hawa?☝🏽☝🏽☝🏽
Mliua wangapi?
Miili mlipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom