Kilasi Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 2,325
- 719
Anayejiita Mchungaji Asumta Mshana ameshindwa kujua anachotakiwa achangie bungeni, baada ya kutoka nje ya maada ya msingi iliyoko mezani, pale alipoanza kuongea yanayo husu ruzuku za chama na matumizi ya fedha hizi, ambazo siyo za kujengea shule,zahanati na maendeleo mengine. Amechemaka sana pale alipoanza kushambuliana na wabunge huku anapoteza dira na kujidharirisha kabisa na kutuwekea ukakasi kama kweli yeye ni mchungaji. hayo yalikuja Baada ya mchungaji msigwa kusema chama cha mapinduzi kina mawaziri duni na ni chakavu. Ambayo ni sahihi kwa kila mtanzania anajua hilo.