Assumpter Mshama (MP) - Tuachane na Capital Budget tutumie Cash Budget

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,275
2,000
Anayejiita Mchungaji Asumta Mshana ameshindwa kujua anachotakiwa achangie bungeni, baada ya kutoka nje ya maada ya msingi iliyoko mezani, pale alipoanza kuongea yanayo husu ruzuku za chama na matumizi ya fedha hizi, ambazo siyo za kujengea shule,zahanati na maendeleo mengine. Amechemaka sana pale alipoanza kushambuliana na wabunge huku anapoteza dira na kujidharirisha kabisa na kutuwekea ukakasi kama kweli yeye ni mchungaji. hayo yalikuja Baada ya mchungaji msigwa kusema chama cha mapinduzi kina mawaziri duni na ni chakavu. Ambayo ni sahihi kwa kila mtanzania anajua hilo.
 
vyuku

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
501
225
huna lolote kusema aseme msigwa wakisema wengine nongwa,kawaida ya chadema haitaki kukosolewa,mnapigwa changa la macho na mwenyekiti wenu,amenunua nyumba ya bei mbaya dubai lkn hamyaoni kwa sababu kafanya bwana mbowe,atakuibieni hadi nanihii zenu lkn mtamshangilia,wacheni ushabiki wa kinafiki,bwana mbowe ni bwana tu kwenu hamuezi kumfanya lolote,wamelipwa hela za kusafiri vadala yake hawasafiri na kula pesa za wavuja jasho,wake zao wapo marekani na kwenda kuwapumzisha dubai,nyambafu zako wewe,ulizeni uchaguzi wa mwenyekiti uone km hamtofukuzwa.
 
sheckman

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
425
195
Wao ni kushangilia kila wanapoibiwa na hawawezi kubadilika wala kujiuliza nini viongozi wao wanawafanyia eti wasije kukosa bang viroba vinavyo wajaza ujinga
 
nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
2,000
Ni mbunge wangu huyo lakini huwa simuelewi huyu mwanamama au kwa sababu ya familia anayotoka?
 
Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,205
2,000
Akichangia katika kikao cha bunge leo jioni, Assumpter Mshama ameishauri serikali kuachana na (kwa kutumia maneno aliyotumia yeye) cash budget na badala yake itumie capital budget, akifafanua tofauti ya hizo budgeting systems mbili amesema

Wakati cash budget ni kupanga budget kwa kutegemea mapato ambayo bado hauna capital budget una-budget kwa kutegemea ulichokuanacho mkononi.

Sina cha kuongeza. kina mwingulu nchemba, zitto zuberi kabwe na wataalamu wengine wa uchumi hasa public finanance wanaweza kutusaidia
 
Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,623
2,000
Ni mbunge wangu, na ni jirani yangu huko jimboni. Tumeshamchoka huyu mama..
kazungumza kwa akili sana swala la kupanga bajeti wakati pesa huna na huna uhakika wa kupata. kenge mmepata kichwa sana.
 
nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
2,000
Ni mbunge wangu, na ni jirani yangu huko jimboni. Tumeshamchoka huyu mama..

Mimi tunatoka kijiji kimoja lakini hakuna alichokifanya bado tuna barabara mbovu kabisa. Hiki kizazi cha Nshunju ni bure kabisa
 
T2015CCM

JF-Expert Member
Sep 13, 2012
7,931
2,000
Breaking news;- slaa adhalilishwa kigoma kaskazini jioni hii. Akimbia mkutano:

Wakuu,

Taarifa za uhakika kutoka kwa katibu wa JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI CHADEMA ndugu RAMA RUAHA, ni kwamba Katibu mkuu wa CHADEMA Padri SLAA leo alikuwa afanye mikutano miwili katika vijiji viwili baada ya kukimbia NGOME KUU YA ZZK ''MWANDIGA'' na kukimbilia kuweka mikutano ifanyike kijiji cha NYARUBANDA na mwingine KIDAHWE.

Taarifa kamili ni kama ifuatavyo

(i). MKUTANO WA NYARUBANDA. - Itabidi PADRI SLAA aishukuru mvua iliyowatawanyisha wananchi wenye HASIRA walioanza kumshambulia SLAA kwa mabango, maneno makali na mawe, huku vijana wake wa REDBRIGED wakionyesha kuishiwa nguvu na kuomba msaada wa POLISI.

SLAA anayejidai kichwa ngumu leo ameishukuru mvua hiyo iliyositiri AIBU YAKE YA KARNE YA KUPOPOLEWA NA MAYAI VIZA NA MAWE.

(ii). MKUTANO WA KIDAHWE - Katika Hali ile ile ya WAHA WA KIGOMA kumchukia DOKTA SLAA kwa kuwafanya wendawazimu na kuwataka washerehekee MAZISHI YA KIJANA WAO, huku SLAA ILIMBIDI AINGIE MITINI.

NDIO, SLAA AMESHINDWA KUTOKEA MKUTANONI KIDAHWE BAADA YA KUAMBIWA KUWA WANANCHI WA ENEO HILO WANA HASIRA NA CHUKI KUBWA DHIDI YAKE, VIONGOZI WA CHADEMA KIDAHWE WALIKATAA HATA KUMUWEKEA MEZA YA KUSIMAMA KUHUTUBIA, GARI LA M4C LILILOONGOZANA NA VIBARAKA WAKE LILIAMBULIA MATUSI MAKUBWA NA MAWE MFULULIZO KISHA KUPEWA TAHADHARI KUWA MLETENI SLAA AONE CHA MTEMA KUNI.

KWA KIFUPI KABISA SLAA AMEUMBUKA KWA KUSHINDWA KUHUTUBIA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,

WENYEWE WANASEMA ''slaa hawezi kutuulia mwanetu halafu anakuja kutuimbia NGOMA za kikweo tucheze, sisi sio wapuuzi''

namuomba MOLEMO, BEN SAA NANE, TUMAINI MAKENE, WAITARA NA WENGINEO WOTE WAJE HAPA KUBISHA AMA KUTHIBITISHA TOFAUTI''
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
14,761
2,000
huna lolote kusema aseme msigwa wakisema wengine nongwa,kawaida ya chadema haitaki kukosolewa,mnapigwa changa la macho na mwenyekiti wenu,amenunua nyumba ya bei mbaya dubai lkn hamyaoni kwa sababu kafanya bwana mbowe,atakuibieni hadi nanihii zenu lkn mtamshangilia,wacheni ushabiki wa kinafiki,bwana mbowe ni bwana tu kwenu hamuezi kumfanya lolote,wamelipwa hela za kusafiri vadala yake hawasafiri na kula pesa za wavuja jasho,wake zao wapo marekani na kwenda kuwapumzisha dubai,nyambafu zako wewe,ulizeni uchaguzi wa mwenyekiti uone km hamtofukuzwa.

Haswaa!, Waswahili wanasema "kunya anye kuku akinya bata kaharisha". CHADEMA wote ni MATAHIRA!
 
Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,224
2,000
huna lolote kusema aseme msigwa wakisema wengine nongwa,kawaida ya chadema haitaki kukosolewa,mnapigwa changa la macho na mwenyekiti wenu,amenunua nyumba ya bei mbaya dubai lkn hamyaoni kwa sababu kafanya bwana mbowe,atakuibieni hadi nanihii zenu lkn mtamshangilia,wacheni ushabiki wa kinafiki,bwana mbowe ni bwana tu kwenu hamuezi kumfanya lolote,wamelipwa hela za kusafiri vadala yake hawasafiri na kula pesa za wavuja jasho,wake zao wapo marekani na kwenda kuwapumzisha dubai,nyambafu zako wewe,ulizeni uchaguzi wa mwenyekiti uone km hamtofukuzwa.

Chadema wanajiona malaika
 
Kayabwe

JF-Expert Member
Jan 8, 2012
347
225
Huyo mama hanachochote kwani hata huko missenyi hajafanya lolote ns asithubutu kugombea tena.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,014
1,500
Kwani yeye alisomea nini? Hii hela ngumu sana, kuipata na kuielewa pia.
 
TIBUSHA

New Member
Dec 10, 2013
1
0
mbali na hayo nawahurumia wananchi waliomchagua huyu mama sijui walimtoa wapi maana hakujua achangie nini maana ameishia kujibu hoja asizoziweza yaani inadhihirisha alivyomuonga kijana{fokasi}ili apite bila kupingwa matokeo yake niyo hayo majanga matupu. magamba yameshangilia maana wameona ni jembe kweli.
 
Ekikunila

Senior Member
Mar 25, 2013
119
225
Mimi tunatoka kijiji kimoja lakini hakuna alichokifanya bado tuna barabara mbovu kabisa. Hiki kizazi cha Nshunju ni bure kabisa
Huyu mama hakuna alichofanya nyumbani ile Nkaka hakuna kitu kashasha chuo kilishakufa bora tungempa katarama wa Bugandika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom