Nimeipenda hii mkuuKwa sisi manahodha tunafundishwa kutumia logic na kutopanic unapokutwa na lolote usilolitegemea,liwe la kawaida au la kutisha. Sasa kwa hapo jiulize swali moja, kama ameweza kudumbukia baharini anakodai ni kwao,atashindwa nini kukuunganishia ukimkimbia kama ana shida na wewe? Hapo ni kumsubiri tu, sijui atatoka na hela ya nchi gani teh teh teh teh toh toh.