Je una uwezo wa kunisaidia kuandaa proposal mpaka dissertation kwenye somo la Finance?
Ni pm namba yako ya simu au email address tuwasiliane.
pia napatikana kwenye strike5867@gmail.com,
Malipo yauhakika yatakuepo.
Dessertation ni muhimu sana kwa wanaosoma Post Graduate kwani inakufanya usome vitabu vingi sana kuhusiana na topic au tatizo uliloamua kulifanya tafiti; kwa kusoma hivyo vitabu na kuandika unakuwa umeelewa sana ile topic na inahitimishwa kwa wewe kutunikiwa shahada. Sasa unapoomba ufanyiwe utaelewa nini? Wewe unatakiwa ufanye mwenyewe kwa maelekezo na ushauri wa "Supervisor" wako.....si busara hata kidogo kuandikiwa Dessertation
Je una uwezo wa kunisaidia kuandaa proposal mpaka dissertation ?