Assist difficulties with web browser. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Assist difficulties with web browser.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Loloo, Aug 13, 2012.

 1. L

  Loloo JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakuu habari zenu; Jamani naombeni msaada for the past two month napata shida sana kufungua official mail yangu ya yahoo.Ilikuwa ivi,niliwazima mtu laptop katia kufanya kazi zake akaremove firefox,nilivyokuja kuinstall upya hapo ndo matatizo yalipoanza ,maisl nashinwa kuacess ila other activies kwenye website nyingine zinafanyika nikawa nafungua through access mode,for two weeks imekubali sasa ndo imegoma kabisa,IE ndo kabisa nikanza tu kutype mail off it goes,natumaini nimeeleweka kiasi flanni naombeni saada please!
   
 2. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  ukitype yahoo inajifunga au? Jaribu Mozilla Browser
   
 3. L

  Loloo JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mozila ndo inagoma mkuu
   
 4. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,817
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  tatizo ni geni ila jaribu mambo haya

  1. Clear cookies na cache

  2. Maybe kuna ads on zinazoblock mail yako jaribu kutumia opera browser (ina less ads on) na uangalie tatizo litaendelea? Kama opera hapatwi na hilo tatizo then nenda kwenye ads on (plugins) jaribu kuangalia zisizo na maana zi disable zote.
   
 5. L

  Loloo JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante chief ngoja kwanza nianze na cache na cookies
   
 6. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,451
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  opera vp? Ila hebu jaribu ushauri wa chief-mkwawa
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. L

  Loloo JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Itabidi nijaribu manake frankly speaking nimezoea IE na FF
   
 8. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hilo tatizo lipo sana, sasa cha kufanya ni kuingia kwa kupitia client nyingine. Pakua 'yahoo Messenger', kisha isanikishe kwenye dadavuzi mpakato yako. Kwa hiyo utakuwa una ingia yahoo kupitia hii Messenger, utakapo kuwa hapo utabofya kitufe cha 'mail' ambacho kitafungua kivinjari chaguo msingi chako (IE au MF). Njia hii nimeithibitisha na naamini hautakuwa na tatizo tena.

  lete mlisho-nyuma kama utajaribu.
   
 9. L

  Loloo JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana ila nakuomba kama hutajali unieleweshe kwa kutumia IT terms au kingereza cha kawaida samahani sana lakini
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,817
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  Possibly jamaa mhindi katumia google translator
   
 11. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  kuingia = sign in
  dadavuzi mpakato = laptop
  kitufe = button
  sanikisha = install
  kivinjari = browser
  chaguo msingi = default
  mlisho-nyuma = feedback
  pakua = download
  bofya = click

  Kiswahili ni kitamu kama ziwa la mama, alisema Shaaban Robert! Karibu
   
 12. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mmang'ati wa Endamaghan mimi. Haya maneno yalifanyiwa kazi na UDSM, muda kidogo uliopita. Kulikuwa na mradi wa kuswahilisha programu huria (Open Swahili Localization Project) hapa ndipo nilipochota istilahi hizo. Jaribu na wewe pia, inaburudisha.
   
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,817
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  Thanx naicheki
   
 14. L

  Loloo JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 214
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hahaahaa nimefurahia kiswahili cha lap top na installation thanks
   
Loading...