Jua limechomoza na miale yake
ya rangi ya dhahabu imetawanyika katika uso wa dunia ikirutubisha
mimea,wanyama,binaadamu na vilivyomo.pia rangi nzuri ya kijani
iliyotapakaa kila pembe ya tanzania imekuwa kama maua mazuri ya
kuwaunganisha wapendanao rangi hii nzuri ya kijani iwe mahsusi kwa my
love Evelyn Salt dada zangu wapenzi
king'ast Arabela bila
kumsahau shemeji yangu wa ukweli charminglady
manoah Dr.zero na
wengine kibao pia nawe tumia fursa hii kumwambia umpendae good
morning.
hivi we Slave hujui kuwa Evelyn Salt ni masseur mzuri?