Gama JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 13,264 Reaction score 4,747 Apr 14, 2017 #1 Naangalia CNN muda huu, Asad anafanya interviw na kusema kuwa tukio la mashambulizi ya sumu ni la uongo, Russia nayo yasema vielelezo vilivyokusanywa na USA ni fake, mtifuoano ni mkubwa
Naangalia CNN muda huu, Asad anafanya interviw na kusema kuwa tukio la mashambulizi ya sumu ni la uongo, Russia nayo yasema vielelezo vilivyokusanywa na USA ni fake, mtifuoano ni mkubwa