Sometimes none of the answers get it just right
:confused2:
bombu habari ya uzima wako na mchana huu kwa ujumla kama upo africa? napenda kutuma salamu kwa wala ukoko wote popote walipo! ujumbe wa katikati hauna ladha kama umezoea ukoko! naomba wasindikizwe na wimbo wa 'msegeju ana ng'ombe ee, nami na ng'ombe zangu!Mie nimehisi una mkataba nae wa kuonja, lol.
Mie napenda wa juu bana (definition ya juu itolewe mwongozo hapa, lol). Wa chini kula wewe. Kaizer naoma unibakizie, ila usiniulize kubakiziwa nini
bombu habari ya uzima wako na mchana huu kwa ujumla kama upo africa? napenda kutuma salamu kwa wala ukoko wote popote walipo! ujumbe wa katikati hauna ladha kama umezoea ukoko! naomba wasindikizwe na wimbo wa 'msegeju ana ng'ombe ee, nami na ng'ombe zangu!
namwambia tuchanganyeee, hataki,
kwaheri nenda zanguuuu!
umenawa mikono?? si unazijua sheria za ukoko?? kula na maji ya chumvi, so pitia baharini unawe kisha uje!
Na kama ana kohozi, abanje kabisa! Utelezi wa kohozi na ugumu wa ukoko havitangamani.:spy:umenawa mikono?? si unazijua sheria za ukoko?? kula na maji ya chumvi, so pitia baharini unawe kisha uje!
rule numb 4 kwangu ni kwamba, no sharing policy! lolest!Vile vile sijaisahau rule #3 kizuri kula na.....:second:
tobaaaaaaa darl, mbona maneno kuntu mchana huu? kha!Na kama ana kohozi, abanje kabisa! Utelezi wa kohozi na ugumu wa ukoko havitangamani.:spy: