asprin uko juu

Last edited by a moderator:
Kaizer,
Tui lake Samaki,
utie kunako supu wapi na wapi?
Sawa na kunywa Chai na Mlenda.

ewaaa sasa hapo unakuwa umepata mkunaji wa bara, siye wa pwani wala tunajua tui tulitie wapi! hahahah
 
Hahahahah ushasahau leo nna mihadi na cacico kwenda kudansi kabla hatujaenda kudadavua malovee practically?

Nani aliwadanganya ng'ombe anazeeka maini? Ukuje na gfsonwin mtujoin bana.



kha, kha, kha! mwe! haya bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…