asprin uko juu

Dah mi ntakuja nae ingawa bado yuko tight na mambo fulani ila ntajitahidi kuja nae
Akishindwa ntakuja na Kipipi msaidizi wa Amyner
 
Last edited by a moderator:
Nipo laaziz. Leo tukapate hii makitu bana.... si unajua jioni leo sikukagui bali tutakaguana??

wallah Asprin umenitamanisha balaa! yaani nimesalivate! naimisije hiyo kitu??
 
Last edited by a moderator:
Unaweza mwalika na dada msiri wako gfsonwin kwakuwa ntaambatana na hommie wangu Kaizer. Tushaanza kuranduka wenzenu...

dada yangu msiri wangu wa moyoni leo simsomi kabisaaaaa kwenye rada yangu! nadhani hii rada ndiyo ileeee ambayo bado tunadai chenchi! jamani shem Kaizer, gfsonwin leo yupo wapi?
 
Last edited by a moderator:
ombi lako limekubaliwa bila upingamizi, ila tu mwambie hommie wako vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
gfsonwin tangu nimalize kumkagua yuko hoi kalala tu home ila atakuja baadae kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu kule ni shurba tu!! Usipime.


hebu tuwe serious kidogo, umewahi kuwa comedian?? umenichekesha mwenzio kila mtu ananishangaa mpaka clients! sasa huyo kufunikwa na matofali hivyo ndio nini jamani?? darling we waeza nichekesha hata kwenye ukaguzi, nimeshashtuka u cant b serious kha!
 
Mi mzima kabisa cacico,hofu na mashaka ni we uliye mbali na upeo wa macho yangu
angalia vizuri kwa jicho la pili, utagundua am not far hata kidogo....... but u knw what my kaka, am kujua upo pouwa!
 
Umeona eeeh!
Kweli hata mimi nimecheka sana hizo picha za Asprin
Dah
 
Last edited by a moderator:
Dah ntafurahi siunajua tangu urudi nilisimama kuwakagua the totoz eeeh? Asprin mwambie Catherine aje time hizi watu wako lunch bado wakirudi wakute nshamaliza ukaguzi

...huitaji msimamizi?
Ukivurunda zoezi je?
Alaa..!!!
 
Last edited by a moderator:
Usijali niko kwa ajili yako. Mapozi yako yananipagawisha jamani. Nikupitie jioni au nije sasa hivi? Uvumilivu ushanishinda.


this way my love......., this way come, come! am waiting lol!
 
Dah ntafurahi siunajua tangu urudi nilisimama kuwakagua the totoz eeeh? Asprin mwambie Catherine aje time hizi watu wako lunch bado wakirudi wakute nshamaliza ukaguzi

...huitaji msimamizi?
Ukivurunda zoezi je?
Alaa..!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…