Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Pamoja na kuwa na sura na tabia za kijelajela lakini hakika ubunifu wako unaibeba chi chat.Tulizana sasa,stick to what you can do best,to cheat chat,achana mambo ya kupimana ubavu na kina mwanakijiji,wale mabaunsa bongo zao kila siku ziko gym,wataishia tu kukuchomekea ban.Hivi huoni raha warembo wanavyokushobokea chit chat? Embu nambie mwanamke gani ashawahi kukutaka huko kwingine ,FF au nani?
Yani me namshobokea balaa.
Cjali lolote.
Hv hujui vya Kipekee ndio vitamu?
Bishanga mzima weye??Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.Pamoja na kuwa na sura na tabia za kijelajela lakini hakika ubunifu wako unaibeba chi chat.Tulizana sasa,stick to what you can do best,to cheat chat,achana mambo ya kupimana ubavu na kina mwanakijiji,wale mabaunsa bongo zao kila siku ziko gym,wataishia tu kukuchomekea ban.Hivi huoni raha warembo wanavyokushobokea chit chat? Embu nambie mwanamke gani ashawahi kukutaka huko kwingine ,FF au nani?
bby wangu Asprin upo papito? nakungoja job tukapate lunch, si ulisema utakuja kunipick?? waache wakushobokee upo juu kwenye ukaguzi, mi luv u mwahhhhh!
Mkuu wangu kule ni shurba tu!! Usipime.nasikia jela kuna mambo mengi MAKUBWA...babu tupe moja lililokukuta!
asante~!
Ule mkwala ulonipiga kule kumbe ulikuwa umeenda mazoezini? Nimekoma kukutania wallah!!
hilo pozi lako na braza kaizer sijawaeleweni...ebu pandisheni MILEGE iyo...afu nani yuko nyuma ya mwenzie?