Honey, usije ukanikonfyuzi na hawa ma tablets wengine tafazali. Si unaskia washatumia jina la pharmacy kumtongozea Lily flower?
Kuna mpwa hapa anaumia kweli! Hebu mpatie GROAN
huyo ndo nimemuingiza kwenye maikroskopu nitajua tu habari yake
halaf mwambie WiseLady tumemnyang'anya rasmi u lawyer wa JF. Tangia amechumbiwa na yule fundi baskeli amekuwa hahuzurii vikao kikamilifu.wewe huna neno, wenye utata ni hao dawa wengine, halafu nadhani ni wakina dawa za magonjwa ya milipuko hao
mtoto unapenda nanihii wewe...kha!m :mimba:
hehehe unakaribishwa sana , usisahau kalkuleta, huku kwa wiki tunakufa 20, kijiji chetu ni usibitisho tosha kwamba Mungu yupo.Klorokwin u have made my day yaani nimecheka mpaka dah hicho kijiji nitakitembelea siku moja nichukue sensa ya maandiko makaburi.
halaf mwambie WiseLady tumemnyang'anya rasmi u lawyer wa JF. Tangia amechumbiwa na yule fundi baskeli amekuwa hahuzurii vikao kikamilifu.
utabiri wangu unaniambia jamaa atakuwa hana kibarua, anakimbia majukumu.
hehehe unakaribishwa sana , usisahau kalkuleta, huku kwa wiki tunakufa 20, kijiji chetu ni usibitisho tosha kwamba Mungu yupo.
Lakini yule fundi baskeli ana true love bana kwa Wiselady, unajua ameuza baadhi ya spana zake ili Wiselady apate nokia tochi. dah!Umeonaa eeh, maana mie jana nilipita kwenye kijiwe cha huyo fundi kumefungwa sasa hawa watu are not serious.
Fellow Tablet, Asprin, Krolokwin, Fellow Tablet1, Quinine.....!
:juggle:tahazari na ovadozi mama
yanini malumbano Fellow tablet anakamua halafu ukizangatia mimi ni dogo wake itakuwaje tuchangie acha aendelee, lakini kibarua ninacho ninaingiza dola 20 kwa saa google wananilipa nafanya kazi nikiwa home tu...
Lakini yule fundi baskeli ana true love bana kwa Wiselady, unajua ameuza baadhi ya spana zake ili Wiselady apate nokia tochi. dah!
We waache tu wanatuvuruga akili kweli, hivi TF mbona leo haonekani kulikoni??
acid angeviyeyusha vyote hivi... bahati mbaya sana kachinjiwa baharini kama osamaAsprin
Klorokwin
Fellow tablets
Fellow tablets 1
TF
Mmmmmhhhhhh
AD CONFUSED....(Heeeeeeeeeelp)
ha ha ha ha ha wapi mhandisi Wiselady klorokwin we mwisho.
acid angeviyeyusha vyote hivi... bahati mbaya sana kachinjiwa baharini kama osama