CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,958
- 9,515
Mkuu google information siku hizi ziko waziHii kama sikosei ni mimea ya baharini
Zinalimwa arusha na Iringa piaZinalimwa wapi na faida yake nini mkuu
Unashindwa kupanda hapo kwako?Asparugus ni mboga ghari sana, kwa sisi kajamba nani sio rahisi tuzimudu, Lazima uwe vizuri kuweza kula hizi mboga.View attachment 2169615
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Tumeotesha Nduruma huko bado ndogoUnashindwa kupanda hapo kwako?
Sehemu za Joto sio, zinapenda sehemu za Baridi kiasiMbegu bei gani nipande hapa chanika
Hii kwa baridi ya makete inaweza kustawi vyema?Vipi upatikanaji wa mbegu na bei zake?Sehemu za Joto sio, zinapenda sehemu za Baridi kiasi
Njoo hapa Ifunda kwa mzungu anaitwa Masifio, atakupa elimu juu ya asparagus.Hii kwa baridi ya makete inaweza kustawi vyema?Vipi upatikanaji wa mbegu na bei zake?
AsanteNjoo hapa Ifunda kwa mzungu anaitwa Masifio, atakupa elimu juu ya asparagus.