Kokubanza-G
Senior Member
- Oct 2, 2013
- 111
- 23
Habari wakuu.Nina mdogo wangu baada ya kukosa nacte kutokana na competition nlimuombea vyuo viwili Maji na st Francis ifakara.kapata water supply and sanitation engineering na kingine kapata medical laboratory sciences.nsaidien kuchagua course IPI nzuri