Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 553
- 2,266
Mnaendelea kufanyiana rohombaya tu?Mwisho wenu mbaya sana.Hapa ni coco Beach kwa aslay mihogo ...moto umewaka ...jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda ymeisha
Bongo zimamoto hawana harakaHapa ni coco Beach kwa aslay mihogo ...moto umewaka ...jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda ymeisha
Kwa hizo mbao na turubai kuteketea kwa moto dakika Tano tu vinaisha.Bongo zimamoto hawana haraka
Ni muhimu sana wajasiriamali wakakumbuka kuwa na Bima dhidi ya majanga mbalimbali ikiwemo motoHapa ni coco Beach kwa aslay mihogo ...moto umewaka ...jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda ymeisha
Uwekezaji changamoto sanaKwa hizo mbao na turubai kuteketea kwa moto dakika Tano tu vinaisha.
Zimamoto hizo kwa pale hazipo mbali ,watakua wamewahi,sema ndio hizo mbao nazo zimewahi
Video dk 1 mb 56Hapa ni coco Beach kwa aslay mihogo ...moto umewaka ...jeshi la zimamoto na ukoaji limefanya juhudi za kuuzima moto lakini mabanda ymeisha
Mnaendelea kufanyiana rohombaya tu?Mwisho wenu mbaya sana.