Vijana wa Luge utawaweza basi?Akazane ashinde tuzo za kimataifa, sasa we mtu gani atapata tuzo ikiwa anashinda na kina nandi tuu wanamfanyia ruge matamasha. Hata kua kimziki hahitaji collable na Nandi yafaa atoke nje ili ajulikane
HahahaVijana wa Luge utawaweza basi?
Hahaha!Akazane ashinde tuzo za kimataifa, sasa we mtu gani atapata tuzo ikiwa anashinda na kina nandi tuu wanamfanyia ruge matamasha. Hata kua kimziki hahitaji collable na Nandi yafaa atoke nje ili ajulikane
Kwan ruge hawapi mkwanja?Akazane ashinde tuzo za kimataifa, sasa we mtu gani atapata tuzo ikiwa anashinda na kina nandi tuu wanamfanyia ruge matamasha. Hata kua kimziki hahitaji collable na Nandi yafaa atoke nje ili ajulikane
Kutembea na kichwa tupu wakati akili umeshikiwa huwa ni shida mkuuHahaha
Basi tuzo ataziskia kwenye redio, maana aki hit kweli Ruge ka mpull down kwenye level za Nandi tena.
Sasa kama ana maono mafupi aendelee kuchek mkwanja wa Ruge.Kwan ruge hawapi mkwanja?
Ilinisisimua but haikuwa na maslahi kwa AslayHahaha!
Kwa hiyo combinenga ya Nandy na Aslay haijakusisimua kabisa + kuvutia...?
HahahaKutembea na kichwa tupu wakati akili umeshikiwa huwa ni shida mkuu
Ruge ni mzee wa fursa,anakamata fursa apendavyo kwa wasanii.Ilinisisimua but haikuwa na maslahi kwa Aslay
Bali iliwafaidisha Ruge na Nandy na wasikilizaji
Ndio mziki wetu huu wa wadau muache utamsikia nae baadae anadai haki za wasaniiHahaha
Halaf ana baht mbaya kweli, alifanya vzuri fella akampeleka kwa yamoto band
Now kawika Ruge ana mtumia vilivo kumpa promo Nandi.
Kama hastuki shauri yake
WanasemaSasa kama ana maono mafupi aendelee kuchek mkwanja wa Ruge.
Unadhani Fellah alikuwa hawapi mkwanja? Mwisho unagundua mambo ya muda mfupi hayalipi
Na kweliWanasema
dont abandon your old rag for a passing mat.