Chemical Engineering mkuu Kwa taarifa nilizonazo... Ni Senior Lecturer Kwa sasa chuo cha Nelson Mandela Arusha
Huo si ugunduzi.Imemsaidia kushinda uchaguzi na kuwa Rais.
Nimefika ofisini kwake.. Nimeona idara ya maji wamethibitisha...hizo 97% za vijidudu vilivyotajwa ni vijidudu kama mbu na wadudu walukao wanaofia ndani ya maji ama amei Include na wadudu kama Bacteria nafikiri 3% ya bacteria sio haba bado waweza kupatwa haja kubwa nyepesi!
Itabidi maji yalochujwa na hicho kifaa chake yakafanyiwe Culturing ya micro organisms kwenye Agar ili kujiridhisha kama hapatakuwepo na bacteria wa kutosha kuweza kushambulia guts za wa TZ!
Muulize google anaulizia hayo maji baada ya kuwa filtered yanakuwa salama au safi tu!?Nimefika ofisini kwake.. Nimeona idara ya maji wamethibitisha...
Safi na Salama.. Sikiliza Kwenye hiyo video hapo juu...Muulize google anaulizia hayo maji baada ya kuwa filtered yanakuwa salama au safi tu!?
Maji salama ,,, lazima uangalie content ya dissolved oxygen, cl, acid, alkali, dissolved residual, ca, nk... Filtering ni process ya mwisho kabisa kabla ya maji kuwa treated,,msaada zaidi atembelee water treatment plant iliyo karibu naye.
Mkuu siyo salama, filter ni chujio, chujio linachuja maji ila halitibu maji, nimesiliza ila muulize tu.Safi na Salama.. Sikiliza Kwenye hiyo video hapo juu...
Ukweli... Ni uvumbuzi mzurinilicheki clip zake zinazo zungumzia project yake huko kwao kijijini. wakati nipo arusha wakati fulani kupitia kwa Dr. Muneja ambaye ni lecturer pale UOA
NINGESHAURI PIA APANUE HUO MRADI AKACHUJE MAJI YA PALE ARUMERU ambayo si salama kwa mifupa.