EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Kwa kumteka na kuumiza mwili ndio uchumi utapanda?Tunamshukuru Mungu kwamba umerudi katika maisha haya. Naungana na wengine kukupa pole. Hukurudi kwa ajili ya wema na huruma ya watekaji na watesi wako bali umerudi kwa huruma na kusudi la Mungu. Unapaswa kumshukuru sana Mungu na kamwe usimuache. Pia wakumbuke kwa moyo wa shukrani wale wote waliokuombea na kupaza sauti zao ili uachiliwe huru. Ni furaha na faraja iliyoje kwamba siku moja sote tutakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mfalme wa wafalme! .
Ulipokuwa mikononi mwa watekaji na watesi wako hukuwa na thamani. Kwa kuwa hukuwa na thamani basi kwa vyovyote waliburudisha mioyo yao kwa kukufanyia walivyotaka. Wao walikuwa na malengo yao na bila shaka njia zozote za kutimiza malengo hayo zilikuwa halali. Ujue kwamba mateso yako, maumivu yako, kilio chako na machozi yako ndio ilikuwa furaha yao. Nakupa pole sana.
Watu hao waliokuteka na kukutesa hawajulikani lakini wapo hapa duniani na pengine tunapishana nao mitaani. Njia walizotumia kukuteka na kukurejesha inaonyesha kuwa wanafanya kazi nje ya mfumo na taratibu za kisheria ndio sababu hawakukurejeshea hospitali. Wapo wengine wanaotajwa kwamba nao walitekwa na hadi leo hawajapatikana. Ungana na wale wanaoendelea kuwaombea watu hao kwamba katika mateso, maumivu na machozi yao Mungu asimame upande wao.
Bila shaka unayo mengi ya kusimulia lakini kila simulizi yako uimalizie kwa kumshukuru Mungu. Ninamuomba Mungu akupe kupona na kusimama tena. Pia tafuta sana makusudi ya Bwana kukurejesha toka tundu la simba. Bwana Yesu anatuambia tuwaombee wanaotuudhi. Wewe waombee wala usiwalaani kwani ukifanya hivyo utakuwa umewapalia makaa ya moto vichwani mwao. Hata sasa usidhani kwamba waliokufanyia haya wana amani na furaha mioyoni mwao. La hasha! Damu na uhai wa mwanadamu sio mali ya mtu awaye yote bali ya Mungu. Kucheza na hivyo kinyume na sheria za nchi ni kuingilia himaya ya Mungu. Kwa hiyo wewe huhitaji kuwalaani kwani watekaji na watesi wako walikwisha kujilaani wenyewe. Jambo moja ambalo napenda kukuhakikishia ni kwamba: mateso yako, maumivu yako, uchungu wako, na machozi yako vitabaki kuwa kumbukumbu madhabahuni mbele ya kiti cha enzi cha Mungu aliye hakimu wa haki. Hivyo vitabaki kuwa kumbukumbu mpaka wale wote waliofanya hayo watakapokuja kusimama mbele za Mungu BWANA. Amani iwe nawe Mdude Chadema.View attachment 1093684
Amina MtumishiTunamshukuru Mungu kwamba umerudi katika maisha haya. Naungana na wengine kukupa pole. Hukurudi kwa ajili ya wema na huruma ya watekaji na watesi wako bali umerudi kwa huruma na kusudi la Mungu. Unapaswa kumshukuru sana Mungu na kamwe usimuache. Pia wakumbuke kwa moyo wa shukrani wale wote waliokuombea na kupaza sauti zao ili uachiliwe huru. Ni furaha na faraja iliyoje kwamba siku moja sote tutakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mfalme wa wafalme! .
Ulipokuwa mikononi mwa watekaji na watesi wako hukuwa na thamani. Kwa kuwa hukuwa na thamani basi kwa vyovyote waliburudisha mioyo yao kwa kukufanyia walivyotaka. Wao walikuwa na malengo yao na bila shaka njia zozote za kutimiza malengo hayo zilikuwa halali. Ujue kwamba mateso yako, maumivu yako, kilio chako na machozi yako ndio ilikuwa furaha yao. Nakupa pole sana.
Watu hao waliokuteka na kukutesa hawajulikani lakini wapo hapa duniani na pengine tunapishana nao mitaani. Njia walizotumia kukuteka na kukurejesha inaonyesha kuwa wanafanya kazi nje ya mfumo na taratibu za kisheria ndio sababu hawakukurejeshea hospitali. Wapo wengine wanaotajwa kwamba nao walitekwa na hadi leo hawajapatikana. Ungana na wale wanaoendelea kuwaombea watu hao kwamba katika mateso, maumivu na machozi yao Mungu asimame upande wao.
Bila shaka unayo mengi ya kusimulia lakini kila simulizi yako uimalizie kwa kumshukuru Mungu. Ninamuomba Mungu akupe kupona na kusimama tena. Pia tafuta sana makusudi ya Bwana kukurejesha toka tundu la simba. Bwana Yesu anatuambia tuwaombee wanaotuudhi. Wewe waombee wala usiwalaani kwani ukifanya hivyo utakuwa umewapalia makaa ya moto vichwani mwao. Hata sasa usidhani kwamba waliokufanyia haya wana amani na furaha mioyoni mwao. La hasha! Damu na uhai wa mwanadamu sio mali ya mtu awaye yote bali ya Mungu. Kucheza na hivyo kinyume na sheria za nchi ni kuingilia himaya ya Mungu. Kwa hiyo wewe huhitaji kuwalaani kwani watekaji na watesi wako walikwisha kujilaani wenyewe. Jambo moja ambalo napenda kukuhakikishia ni kwamba: mateso yako, maumivu yako, uchungu wako, na machozi yako vitabaki kuwa kumbukumbu madhabahuni mbele ya kiti cha enzi cha Mungu aliye hakimu wa haki. Hivyo vitabaki kuwa kumbukumbu mpaka wale wote waliofanya hayo watakapokuja kusimama mbele za Mungu BWANA. Amani iwe nawe Mdude Chadema.View attachment 1093684
Tunamshukuru Mungu kwamba umerudi katika maisha haya. Naungana na wengine kukupa pole. Hukurudi kwa ajili ya wema na huruma ya watekaji na watesi wako bali umerudi kwa huruma na kusudi la Mungu. Unapaswa kumshukuru sana Mungu na kamwe usimuache. Pia wakumbuke kwa moyo wa shukrani wale wote waliokuombea na kupaza sauti zao ili uachiliwe huru. Ni furaha na faraja iliyoje kwamba siku moja sote tutakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mfalme wa wafalme! .
Ulipokuwa mikononi mwa watekaji na watesi wako hukuwa na thamani. Kwa kuwa hukuwa na thamani basi kwa vyovyote waliburudisha mioyo yao kwa kukufanyia walivyotaka. Wao walikuwa na malengo yao na bila shaka njia zozote za kutimiza malengo hayo zilikuwa halali. Ujue kwamba mateso yako, maumivu yako, kilio chako na machozi yako ndio ilikuwa furaha yao. Nakupa pole sana.
Watu hao waliokuteka na kukutesa hawajulikani lakini wapo hapa duniani na pengine tunapishana nao mitaani. Njia walizotumia kukuteka na kukurejesha inaonyesha kuwa wanafanya kazi nje ya mfumo na taratibu za kisheria ndio sababu hawakukurejeshea hospitali. Wapo wengine wanaotajwa kwamba nao walitekwa na hadi leo hawajapatikana. Ungana na wale wanaoendelea kuwaombea watu hao kwamba katika mateso, maumivu na machozi yao Mungu asimame upande wao.
Bila shaka unayo mengi ya kusimulia lakini kila simulizi yako uimalizie kwa kumshukuru Mungu. Ninamuomba Mungu akupe kupona na kusimama tena. Pia tafuta sana makusudi ya Bwana kukurejesha toka tundu la simba. Bwana Yesu anatuambia tuwaombee wanaotuudhi. Wewe waombee wala usiwalaani kwani ukifanya hivyo utakuwa umewapalia makaa ya moto vichwani mwao. Hata sasa usidhani kwamba waliokufanyia haya wana amani na furaha mioyoni mwao. La hasha! Damu na uhai wa mwanadamu sio mali ya mtu awaye yote bali ya Mungu. Kucheza na hivyo kinyume na sheria za nchi ni kuingilia himaya ya Mungu. Kwa hiyo wewe huhitaji kuwalaani kwani watekaji na watesi wako walikwisha kujilaani wenyewe. Jambo moja ambalo napenda kukuhakikishia ni kwamba: mateso yako, maumivu yako, uchungu wako, na machozi yako vitabaki kuwa kumbukumbu madhabahuni mbele ya kiti cha enzi cha Mungu aliye hakimu wa haki. Hivyo vitabaki kuwa kumbukumbu mpaka wale wote waliofanya hayo watakapokuja kusimama mbele za Mungu BWANA. Amani iwe nawe Mdude Chadema.View attachment 1093684
Amen baba Askofu!Tunamshukuru Mungu kwamba umerudi katika maisha haya. Naungana na wengine kukupa pole. Hukurudi kwa ajili ya wema na huruma ya watekaji na watesi wako bali umerudi kwa huruma na kusudi la Mungu. Unapaswa kumshukuru sana Mungu na kamwe usimuache. Pia wakumbuke kwa moyo wa shukrani wale wote waliokuombea na kupaza sauti zao ili uachiliwe huru. Ni furaha na faraja iliyoje kwamba siku moja sote tutakufa na kusimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mfalme wa wafalme! .
Ulipokuwa mikononi mwa watekaji na watesi wako hukuwa na thamani. Kwa kuwa hukuwa na thamani basi kwa vyovyote waliburudisha mioyo yao kwa kukufanyia walivyotaka. Wao walikuwa na malengo yao na bila shaka njia zozote za kutimiza malengo hayo zilikuwa halali. Ujue kwamba mateso yako, maumivu yako, kilio chako na machozi yako ndio ilikuwa furaha yao. Nakupa pole sana.
Watu hao waliokuteka na kukutesa hawajulikani lakini wapo hapa duniani na pengine tunapishana nao mitaani. Njia walizotumia kukuteka na kukurejesha inaonyesha kuwa wanafanya kazi nje ya mfumo na taratibu za kisheria ndio sababu hawakukurejeshea hospitali. Wapo wengine wanaotajwa kwamba nao walitekwa na hadi leo hawajapatikana. Ungana na wale wanaoendelea kuwaombea watu hao kwamba katika mateso, maumivu na machozi yao Mungu asimame upande wao.
Bila shaka unayo mengi ya kusimulia lakini kila simulizi yako uimalizie kwa kumshukuru Mungu. Ninamuomba Mungu akupe kupona na kusimama tena. Pia tafuta sana makusudi ya Bwana kukurejesha toka tundu la simba. Bwana Yesu anatuambia tuwaombee wanaotuudhi. Wewe waombee wala usiwalaani kwani ukifanya hivyo utakuwa umewapalia makaa ya moto vichwani mwao. Hata sasa usidhani kwamba waliokufanyia haya wana amani na furaha mioyoni mwao. La hasha! Damu na uhai wa mwanadamu sio mali ya mtu awaye yote bali ya Mungu. Kucheza na hivyo kinyume na sheria za nchi ni kuingilia himaya ya Mungu. Kwa hiyo wewe huhitaji kuwalaani kwani watekaji na watesi wako walikwisha kujilaani wenyewe. Jambo moja ambalo napenda kukuhakikishia ni kwamba: mateso yako, maumivu yako, uchungu wako, na machozi yako vitabaki kuwa kumbukumbu madhabahuni mbele ya kiti cha enzi cha Mungu aliye hakimu wa haki. Hivyo vitabaki kuwa kumbukumbu mpaka wale wote waliofanya hayo watakapokuja kusimama mbele za Mungu BWANA. Amani iwe nawe Mdude Chadema.View attachment 1093684
Zezeta la kukurupuka, Mendez wa kutukana viongozi. hakuna siku uliyoacha kuporomosha matusi. Brain yako ina virus wa kutukana milele?Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana na Watanzania wote kila kona ya nchi na nje ya Tanzania waliopaza sauti hongereni sana. Sauti zetu kama tulivyozipaza walipomteka Roma, Mo na sasa Mdude Chadema zimewaogopesha hawa wahuni na wauaji kutimiza maagizo toka kwa dikteta Ikulu kumuua Mdude na kumpoteza asionekane tena milele kama walivyofanya kwa Ben Saanane na Azory Gwanda.
Huna lolote, unaishi kwa huruma za shemejio. Dada yako akigongwa ndo inapatikana kula yako.Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako [emoji35].
Kutoka kambini.
Mwanajeshi....daaahhh wewe Mwanajeshi wewe, jitafakari marambiliTangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako [emoji35].
Kutoka kambini.
Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana na Watanzania wote kila kona ya nchi na nje ya Tanzania waliopaza sauti hongereni sana. Sauti zetu kama tulivyozipaza walipomteka Roma, Mo na sasa Mdude Chadema zimewaogopesha hawa wahuni na wauaji kutimiza maagizo toka kwa dikteta Ikulu kumuua Mdude na kumpoteza asionekane tena milele kama walivyofanya kwa Ben Saanane na Azory Gwanda.
Amina Mtumishi
mwaminifu.
Wliomteka Mdude chadema . wamekwisha laaniwa
Amen
[emoji1317][emoji1317]Amen baba Askofu!
Zezeta la kukurupuka, Mendez wa kutukana viongozi. hakuna siku uliyoacha kuporomosha matusi. Brain yako ina virus wa kutukana milele?
Tangu nilipoyaona yale matusi how I wish wangekaua huko huko Goddamn siku zote mdomo unaponza kichwa halafu kijana unamdharau unamtukana na kumdhalilisha rais kiasi kile? Mimi kama mwanajeshi mwenye uzalendo na nchi hii na nisiyefungamana na upande wa chama chochote ningepewa hii mission ningekunyoosha vizuri bwana mdogo mpaka ungefurahi na roho yako [emoji35].
Kutoka kambini.
Damu inayodondoka ardhini ama kwa mateso au mauaji, hazitapita hivi hivi, zitaendelea kunena dhidi ya watawala dhalimu.
Mwanajeshi....daaahhh wewe Mwanajeshi wewe, jitafakari marambili