DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Misa Takatifu ya kuwaombea waliouwawa na waliojeruhiwa katika kipindi cha uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025 | Kanisa Kuu la Moyo Safi wa Bikira Maria, Jimbo Katoliki Bagamoyo ikiongozwa na Askofu Stephano Lameck Musomba O.S.A
“Tunaadhimisha misa hii nia zetu tatu, kwanza tunawaombea waliouawa wakati wa uchaguzi mkuu. Tunasema waliuawa kwa sababu watu hawa hawakuumwa, walipigwa risasi. Tunawaombea waliojeruhi na wapo katika maumivu makali, Mungu awape wepesi waweze kupona. Tunaombea haki na amani katika nchi yetu”