Pole sana sana sana. Nadhani umezaliwa 2015 hivyo ukikua utauliza historia ya dini na siasa. Ukikuta ni Askofu Shoo ameanza basi utamhesabu wa hovyo. Ila ukiwakuta vingunge wengine walimtangulia, rudi humu humu JF uje kumuomba msamaha.
Wewe ni mbumbumbu zaidi ya umbmbmbu wenyewe,kwa hiyo toka dunia kuumbwa askofu huyu ndo wa kwanza kuongelea siasa,unakumbuka barua za kichunhaji kanisa katoliki lilizokuwa linatoa hapa tanzania? Anzia zama za mwinyi,