Askofu Samson Gwajima amevamiwa

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,844
Reaction score
52,251
Nilikua nasikiliza Radio. Kuna habari moja inasema Askofu wa Kanisa la ufufuo na uzima, mchungaji Gwajima alivamiwa na majambazi na kwa sasa amelazwa katika hospital ya Bugando Jijini Mwanza. Taarifa zaidi zinasema amepata jeraha usoni na jeraha jingine alilochorwa alama ya msalaba!

Hii habari ina ukweli?

=================

 
nishazichoka habari za huyu jamaa humu jukwaani,tujiandae na dvd za ma season kama zile za kikorea,maana inapoendea,sisemi mengi
 
Gwajima akatwa mapanga jijini mwanza usiku wa kuamukia leo hii, sababu ya kukatwa siijui.
 
Source plz!Maana habari yako ipo kiudaku udaku tu
 
Picha! Picha! Picha tafadhali! Mweeeeh, tuone jamani.
 
Jamaa ameshachuja Hata hauziki tena!!

toka Jana Uzi una page 2!!!


habari ya town ni Piere
 
Ni mdogo wake anayeongoza kanisa la ufufuo na uzima mwanza!! Polisi wanasema sio mara ya kwanza!! Jamaa yuko vizuri nimesikia akihojiwa aliwapiga karate wakasambaratika ingawa walimjeruhi vibaya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…