Hizo taarifa za uchunguzi wa daktari huwa zinapikwaga sometimes. Hivo mi nna wasiwasi kwamba huenda wanaoishi naye ndio wanaweza kushuhudia hayo maradhi yake ya akili.Uchunguzi wa kiafya unafanyika hospitali,kupita daktari wa magonjwa ya akili!
Lakini hiyo midini yenu ya kale si inasema kwamba mkifa mnaenda peponi? sasa mbona mkionyeshewa bastola mnaanza kuunyaunya? loldula,waumin wa kuogopa kufa,hyo ilikua enz za m2me muhammad saw