Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,315
- 152,113
Hapa nangalia starr tv kipindi cha tuongee asubuhi na mada inahusu sakata la madawa ya kulevya na mgeni mwalika ni Askofu William Mwamalanga ambae ni mwenyekiti wa kamati ya kitaifa ya maadili ya madhehebu ya kidini.
Kwa mujibu wa Askofu huyo,Gwajima alishiriki kusaidia waathirika wa madwa ya kulevya na alishirikiana na Polisi jamii.
Kagusia pia club Billicanas na anaoekana ku-suggest kuwa club ile ndio imepelekea Mbowe kutajwa kama ambavyo Gwajima ametajwa kwasababu tu ya kusaidia waathirika wa madawa.
Huyu Askofu inaonekana kuwa na details kuhusu sakata hili.
Chanzo:Star tv
Kama hii ni kweli,kitendo cha kuwataja watu kwa ujumla tu kwakweli hakikuwa cha haki.

Askofu William Mwamalanga yupo live Star TV anaongelea issue ya madawa ya kulevya. Anasema yeye ni mpambanaji sana katika jambo hili.
Anasema kipindi cha nyuma Askofu Gwajima alituhumiwa sana na wao walifanya uchunguzi lakini hawakuweza kubaini kama Gwajima anajihusisha na madawa ya kulevya isipokuwa alikuwa na utamaduni wa kuwaalika vijana waathirika katika semina zake na kuwapa neno.
Ameongeza pia kati ya waliotajwa kuna wengine walishaacha miaka miwili iliyopita
Anasema yeye amewahi kutoa list ya viongozi wa dini kwa serikali ili waifanyie kazi. Serikali ilifanikiwa na kama tulivyosikia viongozi wa dini toka Naijeria
Ameongeza kuwa serikali haitakiwi kutuhumu,wananchi ndio wanatakiwa wapeleke tuhuma na serikali kuwa vyombo vyake itafanyia kazi na kuchukua hatua
Amesema pia kuwa kuna watu wengi tu anashangaa hawajatajwa
Pia anashauri Makonda asikatishwe tamaa hata kama kakosea,aongozwe ili jambo hili liwe la kitaifa