Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati maalum ya Maaskofu na Masheikh ya Haki, Amani na Maadili Tanzania ameoneshwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Amos Makalla
Hivi karibuni akiwa mkoani Simiyu ambapo alidai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina mpango wa kununua virusi vya Ebola na Mpox na kuvisambaza nchini.
Akiwa kwenye mahojiano maalum na Jambo TV, Askofu Mwamalanga amekemea siasa za aina hiyo, sambamba na kutoa wito kwake binafsi na chama chake kutafakari upya kama anastahili kuendelea kutumikia nafasi hiyo.
Soma

- Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
- Pre GE2025 - Richard Mabala ataka Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola au achukuliwe hatua kwa kusema uongo
- Pre GE2025 - CHADEMA wadai kauli ya Makalla inafukuza Watalii, wataka gazeti la Habari Leo wafunguliwe kesi