Askofu Mwamakula unavuka mipaka kwa kuhamasisha GenZ wawe kama watoto waliolazimishwa kupigana vitani na Museveni

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,293
Reaction score
39,975
Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
__________________________
GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU!

Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda Hospitali Kuu ya Kampala baada ya Yoweri Museveni kuukamata mji wa Kampala mwaka 1986 katika mapigano yaliyomuingiza katika Ikulu ya Uganda. Je, ulijua kuwa Gen Z ndio walimsaidia sana Museveni kuingia Ikulu kwa kuwa sehemu kubwa yao ndio waliokuwa wanaunda jeshi lake lake la msituni? Picha hii ni kwa hisani ya Odhiambo!

Hakuna jamii isiyotunza kumbukumbu ya watu wake walioshiriki katika kupigania ukombozi wa taifa lao. Gen tEndeleeni kutunza video na picha tarehe 29 - 31 Oktoba 2025. Wapuuzeni wanaotaka msizituze. Hii ni fahari yenu kesho!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 1 Desemba 2025; Saa 6:35 usiku

___________________________

Itoshe kusema kuwa huyu Askofu wa CHADEMA anachochea mapinduzi ikiwezekana hata kwa njia za kivita kupitia hawa watoto GenZ. Inashangaza sana Askofu kusifu uhalifu uliofanywa na Museveni kuwaingiza watoto jeshini ili kupigana vita vya kupindua serikali. Hii ina maana Askofu yuko tayari kuona GenZ wa bongo wakipewa silaha na kupambana kuiondoa serikali madarakani. Ninavisihi vyombo vya dola vimfuatilie kwa karibu huyu Askofu wa CHADEMA kwa sababu iko wazi kashaonyesha nia yake ovu dhidi ya amani ya nchi hii. Kwake yeye watoto kupoteza maisha ni furaha.

Tatizo lenu mnapiga sana kelele, badala ya kutulia ili dawa 💊💉 iwaingie vizuri.
 
Kama kweli amevuka mipaka muueni kama mnavyofanya kwa wengine waliovuka mipaka.
 
Ariiii ariiiiii ariiiiiiiiiiiiii Ariiikiiiiiii
Piga bastola paaaah!
 
Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
__________________________
GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU!

Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda Hospitali Kuu ya Kampala baada ya Yoweri Museveni kuukamata mji wa Kampala mwaka 1986 katika mapigano yaliyomuingiza katika Ikulu ya Uganda. Je, ulijua kuwa Gen Z ndio walimsaidia sana Museveni kuingia Ikulu kwa kuwa sehemu kubwa yao ndio waliokuwa wanaunda jeshi lake lake la msituni? Picha hii ni kwa hisani ya Odhiambo!

Hakuna jamii isiyotunza kumbukumbu ya watu wake walioshiriki katika kupigania ukombozi wa taifa lao. Gen tEndeleeni kutunza video na picha tarehe 29 - 31 Oktoba 2025. Wapuuzeni wanaotaka msizituze. Hii ni fahari yenu kesho!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 1 Desemba 2025; Saa 6:35 usiku

___________________________

Itoshe kusema kuwa huyu Askofu wa CHADEMA anachochea mapinduzi ikiwezekana hata kwa njia za kivita kupitia hawa watoto GenZ. Inashangaza sana Askofu kusifu uhalifu uliofanywa na Museveni kuwaingiza watoto jeshini ili kupigana vita vya kupindua serikali. Hii ina maana Askofu yuko tayari kuona GenZ wa bongo wakipewa silaha na kupambana kuiondoa serikali madarakani. Ninavisihi vyombo vya dola vimfuatilie kwa karibu huyu Askofu wa CHADEMA kwa sababu iko wazi kashaonyesha nia yake ovu dhidi ya amani ya nchi hii. Kwake yeye watoto kupoteza maisha ni furaha.

Msiko mwambia ukweli Mama Samia wana mtandao ndiyo watamuuwa kwa kuzingizia ugojwa wa moyo ngojeni muone
 
Serekali ingekuwa halali ungekuwa na hoja ya msingi, sio hii ya kura 31m ambazo hakukuwa na wapiga kura hao vituoni. Kama mlitegemea mtaendelea kupora chaguzi na watu wakae kimya, basi safari hii mjue umma umekataa.
 
Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
__________________________
GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU!

Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda Hospitali Kuu ya Kampala baada ya Yoweri Museveni kuukamata mji wa Kampala mwaka 1986 katika mapigano yaliyomuingiza katika Ikulu ya Uganda. Je, ulijua kuwa Gen Z ndio walimsaidia sana Museveni kuingia Ikulu kwa kuwa sehemu kubwa yao ndio waliokuwa wanaunda jeshi lake lake la msituni? Picha hii ni kwa hisani ya Odhiambo!

Hakuna jamii isiyotunza kumbukumbu ya watu wake walioshiriki katika kupigania ukombozi wa taifa lao. Gen tEndeleeni kutunza video na picha tarehe 29 - 31 Oktoba 2025. Wapuuzeni wanaotaka msizituze. Hii ni fahari yenu kesho!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 1 Desemba 2025; Saa 6:35 usiku

___________________________

Itoshe kusema kuwa huyu Askofu wa CHADEMA anachochea mapinduzi ikiwezekana hata kwa njia za kivita kupitia hawa watoto GenZ. Inashangaza sana Askofu kusifu uhalifu uliofanywa na Museveni kuwaingiza watoto jeshini ili kupigana vita vya kupindua serikali. Hii ina maana Askofu yuko tayari kuona GenZ wa bongo wakipewa silaha na kupambana kuiondoa serikali madarakani. Ninavisihi vyombo vya dola vimfuatilie kwa karibu huyu Askofu wa CHADEMA kwa sababu iko wazi kashaonyesha nia yake ovu dhidi ya amani ya nchi hii. Kwake yeye watoto kupoteza maisha ni furaha.

Screenshot_20251201-222021~2.png
 
Back
Top Bottom