Travelogue_tz
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 855
- 1,224
Kauli ya Askofu Mtetemela
Katika mchango wake, Askofu Mtetemela alilieleza kukerwa na kauli ya Profesa Lipumba kuliita Bunge la Maalum la Katiba kuwa linafanana na kundi ovu la Italahamwe.
Nasikitika kwamba sijaweza kumuona yeye binafsi Profesa Lipumba iliniweze kumwambia masikitiko yangu, nanaamini ni masikitiko ya wengine. Mshtuko wangu ni kwamba alilinganisha Bunge hili nakundi la Intarahamwe la Rwanda, alisema.
Alibainishakwambakihistoria inajulikana Intarahamwe ni wauaji, hivyo sio busara kabisa kuwafananisha wajumbe waBunge Maalumu nakundi hilo.
Hatuko hapa kumuua mtu yeyote, kutuita sisiwauajisi jambo jema, ni bayalakinipia kaulihiyo inaweza kufufua maumivu ya wenzetu waRwanda ambao hawatakihalihiyo ijirudietena katika nchi yao, alisema.
Alieleza kuwa kaulihiyo pia inaweza kuibua hisia tofauti hatakwaSerikaliyaRwanda inayowezakufikirikuwa Tanzaniainalifanyia mzahajambo lililowaumizakwakiasi kikubwa. Chanzo: Mwananchi