Askofu Mtetemela: Waogopeni Watu wanaopenda kukaa mbavuni mwa viongozi na Kusifiasifia, ni hatari Sana Watu hao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,107
142,202
Huu ndio Ujumbe muhimu Kutoka kwa Askofu mkuu mstaafu wa Anglikana baba Mtetemela alipohubiri leo pale KKKT Kimara kwa mchungaji Matsahi

" Waogopeni Watu wanaopenda kukaa mbavuni mwa viongozi na Kusifiasifia"

Mungu wa mbinguni awabariki

Nawatakia Dominica Njema 😄
 
Huu ndio Ujumbe muhimu Kutoka kwa Askofu mkuu mstaafu wa Anglikana baba Mtetemela alipohubiri leo pale KKKT Kimara kwa mchungaji Matsahi

" Waogopeni Watu wanaopenda kukaa mbavuni mwa viongozi na Kusifiasifia"

Mungu wa mbinguni awabariki

Nawatakia Dominica Njema
Yuko sahihi. Hapa Mafinga kuna kijana alikuwa miongoni mwa Vijana hodari na wajasiriamali wanaojitambua. Hamadi akawa Chawa wa DC, lo!!! Amekuwa kama Zuzu Sasa.
 
Back
Top Bottom