GE2025 Askofu Msonganzila: Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, sikiliza sera zao, chagua anaestahili

GE2025 Askofu Msonganzila: Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, sikiliza sera zao, chagua anaestahili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
"Kwanini uhonge na kwanini uhongwe, chagua anaestahili, sikiliza sera zao. Na sasa dakikia za mwishomwisho watu wameanza kujipendekezapendekeza hapana. Mauaji ambayo yameendelea kusikika mpaka sasa, haijawa haki watu wanyamaze kama mauaji yanatendeka, si yanatendeka, hatusemi wewe unayatenda, si yanatendeka kwani kuna kigugumizi kusema ni kweli yanatendeka. Sasa huyo anayesema yasitendeke anakuwaje mbovu? Roho wa bwana hataruhusu hio. Anapenda amani iwe kwenu hakuna amani bila haki, na kama amani itakuwa kwenu haki itakuwa ni msingi wake."

Ujumbe kwa Walei Siku ya Pentekoste na Askofu Msonganzila, June 8, 2025, Kiabakari - Musoma

 
Duuuuu!
Kuna nini kesho - serikali ichukulie kwa uzito mkubwa ushauri wa viongozi wa dini
 
Awamu ya 5 mauaji yalikua meng san mpk waandisha wahabar lkn hkn kiongoz wakatolik aliweza sema ila ss hv kama vile wamesichiwa
 
ni rahisi kwake kusema akitoka hapo kila kitu kimeshaandaliwa yeye ni kula tu na kulala, huyo hajawahi kulala njaa tangia upadrisho atleast hivyo siajabu haelewi maisha ya watu, binafsi si hukumu mtu na nawaelewa wanaokubali hela “kuuza kura” …
 
Back
Top Bottom