Mkuu, usually hawa ni watoto wa kizazi kipya. Hawana hoja wala adabu ya kuweza kusemeshana kwa staha. Wao hudhani kuwa kutukana hovyo ndiyo ujanja kumbe ni ujinga tu na utoto wa kifikra hata kimalezi na kimakuzi.Mzee dah.....mbona jamaa kakukoti kwa maneno ya kawaida tu?hii ni jamii bro hatufanani akili yafaa ujifunze kujadili kwa hekima kidogo.
Nan mtoa tuzoKakobe Na Dr. Shika ndio the best males of the year. Hamna cha BASHITE Wala Mgambo wa Arusha
Which point are u trying to make?Nani asiyejua Kakobe ni Pro Lowassa -pro Chadema? Kakobe nae ni mpinzani kama wapinzani wengine tu.
Siku hazigandi
Unalialia nini kutafuta huruma za wana jf?sio lazma kila uzi uchangie...nyingine jifunze kupita kushotoMkuu, usually hawa ni watoto wa kizazi kipya. Hawana hoja wala adabu ya kuweza kusemeshana kwa staha. Wao hudhani kuwa kutukana hovyo ndiyo ujanja kumbe ni ujinga tu na utoto wa kifikra hata kimalezi na kimakuzi.
Ingekuwa zamani tungetukanana hapa mpaka ningekula ban lakini siku hizi nilishajifunza kupotezea tu. Dunia itawafunda !!!
Huna adabuNaona unatukana kwa kutumia id zako zote mbili. Safi sana. Na kwa kawaida muanzisha mada huwa hatukani wachangiaji wa mada yake...hasa kama mada yenyewe ni ya kidini kama hii. Matusi haya unayoporomosha na Daniel na nabii Yeremia wapi na wapi mkuu?
Hujasikia Tuzo imetoka South Africa?Nan mtoa tuzo
Baba umeniwai[HASHTAG]#Akatubu[/HASHTAG]
Wachawaitwe tuSi sahihi kumuita hivyo binadamu mwenzako