johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,149
Rashid anazidi kuipa wakati mgumu CCMMbunge wa Kawe mh Dr Josephat Gwajima amekishauri chama chake kiruhusu baadhi ya wanaccm wasichanje ili kama chanjo itakuwa na matokeo mabaya basi mwaka 2025 wawepo wanaccm wa kukitetea na kukiombea radhi chama kwa wananchi.
Dr Gwajima ametoa ushauri huo kwa chama chake na wanachama wenzake akiwa katika kanisa analoliongoza la Ufufuo na Uzima ubungo mkoani Dar es salaam.
Mungu ni mwema wakati wote!
Gwajima ameshaanza kutetemeka, ngoja Samia aseme wabunge wote wa CCM wapate chanjo ndio atafurahi zaidi.
Hawamgusi huyo Mkuu wanamuogopa sana awe ndani ya maccm au nje ya maccm. Vichwa vinawazunguka.
Jamaa chenga Sana huyu
Jamaa chenga Sana huyu
Kanisa la misukule
Meko ameacha wehu wengi sana kama yeye.Hawamgusi huyo Mkuu wanamuogopa sana awe ndani ya maccm au nje ya maccm. Vichwa vinawazunguka.