Askofu Gwajima nani alikudanganya kuwa ni Mic na Kiti tu ndiyo vinaweza Kukuondoa Kimafia duniani?

Watu wakitumia majina feki au wakitumia vpn hudhani hawawezi kujulikana kama huyu kum@ wa post hii

Kama madai ya Gwajima ni ya kweli unatafuta kumuua ili iweje!?

Unafikiri kila mtu ni wa ndiyo mzee hata kwenye upumbavu kama huu wa corona
 
Bahati nzuri tu ni kwamba MODS wa JamiiForums wana Akili sana na hawana Upumbavu wa Kurithishwa ulionao na ambao ndiyo unakutesa kama siyo Kukusumbua.
Mods wa jf unawafahamu wote?

Juzi Juzi waziri wa habari alitembelea ofisi za jf unafahamu walijadili nini a to z?

Wamiliki wa hii jf unawafahamu wote? Unafikiri watakuwa tayari kuona mtanzania mwenzao anayetetea uhai wa watu wake wakiwemo hawa Wamiliki wa jf anatolewa uhai kwa lugha za kujidai hadharani kabisa namna hii?
 
Absolute Nonsense... !!!
 
Absolute Nonsense... !!!
Bado Gwajima hajafa

Na hata akifa na wewe siku yako ya kufa ipo

Kumuua Gwajima haina maana wewe utaishi milele

Na kumuua Gwajima ndiyo kutaongeza ufahamu wa waTanzania kuhusu hiyo michanjo yenu

Na mpaka sasa hata baada ya Magufuli kufa bado waTanzania wengi hawana muda na michanjo yenu
 
Nchi ya watu milioni 60 mpaka sasa waliochanja hawafiki laki 5
 
Bado Gwajima hajafa

Na hata akifa na wewe siku yako ya kufa ipo

Kumuua Gwajima haina maana wewe utaishi milele

Na kumuua Gwajima ndiyo kutaongeza ufahamu wa waTanzania kuhusu hiyo michanjo yenu

Na mpaka sasa hata baada ya Magufuli kufa bado waTanzania wengi hawana muda na michanjo yenu
Rubbish...!!!!
 
Mods wa jf unawafahamu wote?

Juzi Juzi waziri wa habari alitembelea ofisi za jf unafahamu walijadili nini a to z?

Wamiliki wa hii jf unawafahamu wote? Unafikiri watakuwa tayari kuona mtanzania mwenzao anayetetea uhai wa watu wake wakiwemo hawa Wamiliki wa jf anatolewa uhai kwa lugha za kujidai hadharani kabisa namna hii?
Mchango mzuri fikirishi kwa mightier
 
Cheza na Wote tu, ila siyo Deep State.
usiyakuze kiswahili wewe! D.state kitu gani bongo! Gwajima alifanya safi sana aliwapiga ndefu kisaikolojia! alijua fika kuwa kiti wala mic hazina kitu kibaya ila alitaka wao na Dunia wajue kupitia camera zile kuwa Bongo hawaaminiki! waliua kwa kutumia vitukm hivo!
tatizo huna akili ya kujua mambo
 
Back
Top Bottom