Askofu Gwajima: Magufuli endelea kukaza uzi hivyo hivyo, usilegeze

Hao ni wapi..? Wataje..?

Maana huyu ni.muhuni kwelikweli...Hukumbuki lile saga la kutembea na mke wa Mbasha..?
Kutembea na mwanamke na kulawiti watoto wa kiume lipi baya Zaidi? Je kati ya hao wanaofanya mambo hayo yupi muhuni kuliko wengine? Umeniambia unataka niwataje, ina maana wewe huwa hufuatilii habari? Ni kweli kwamba hujawahi sikia ile kashfa ya wale mapadre?
 
Wataje sasa....
 
Duh!kampa kampa tena gambani mtambao wa panya kisha nyavuni.hu mchezo hauitaji hasira..
 
Ubishop siyo maigizo wewe..! Vichwa vile vya RC siyo simplemind ndugu yangu..!
Nani alikwambia u-RC ndio reference ya Ukristo ??

Kwamba Ukristo sasa una define mambo yake kwa kufuata reference zilizosetiwa na Kanisa Katoliki na sio Biblia tena??.

Msingi wa Ukristo ni Biblia na Yesu mwenyewe, ingekuwa zama hizi Paulo anafanya kama alivyofanya kwenye biblia kwa kumsimamisha Petro mbele ya madhabahu na kumuita mnafiki mbele ya waumini si mngempiga mawe kwa kumdhalilisha mtume ambaye ndiye Papa wa kwanza wa Kanisa letu pendwa??

Achana na hizi habari za Vichwa vya RC, rudi kwenye Biblia inasema Askofu ni mtu wa namna gani??
 
Ndugu theology ya biblia imeanza zamani sana na warithi wake ni wakatoliki, hiyo biblia imeandikwa kwa misingi ileile ambayo badae ilijenga ukatoliki.
 
Duh...

Mkuu kuna tofauti kubwa kati ya theology na NENO.

Sijui kama umewahi ku-attend chuo cha biblia au lah, lakini kifupi theology sio NENO.

Theology ni definition ya neno kulingana na muktaadha wa msomaji na ushahidi wa kibinadamu kama hesabu za miaka, ustaarabu wa kihistoria na mifumo ya kisiasa na mambo kede kede.

Theolojia ya kikatoliki ni tofauti na kiprotestanti na ni tofauti na kisabato na hivyo hivyo kwa mashahidi wa Yehova na wengineo.

Kwa mfano theolojia ya Mashahidi wa Yehova inasema Roho Mtakatifu sio nafsi hai, ni nguvu kma ilivyo gravitational force, ina nguvu lakini sio hai, haiwezi kufikiri wala haina utashi, tofauti na theolojia ya Kikatoliki na makanisa mengine inayodai Roho Mtakatifu ni nafsi hao kabisa yenye utashi na ni nafsi ya Mungu katika utatu wake.

Nakubaliana na wewe kuwa ukatoliki umejengwa kwa misingi ya Biblia lakini napingana na wewe kuwa Biblia iliandikwa kwa misingi ya theolojia ya Kikatoliki.

Biblia ni kitu kingine kabisa kinachojitegemea na hakifungamani na Ukatoliki wala Usabato wala Ulokole wala dhehebu yoyote ile.

Kabla Ukatoliki haujaja miaka ya 400 baada ya kufa Yesu, Biblia ilikuwepo tayari, labda tofauti ilikuwa tu ni kwamba ilikuwa haijachapishwa kwa uzuri na mpangilio wa vitabu kama huu tulio nao kwa sasa, kila kitabu kilikuwa kinajitegemea kivyake na vilikuwa vinaitwa vyuo.

Kwa hiyo narudia kusema kuwa refference ya Ukristo sio Ukatoliki, ila Ukatoliki refference yake ni Ukristo, Kristo mwenyewe na neno lake yaani Biblia.
 
Ukisahau utalaam na taalum ambayo ndiyo matumizi makubwa ya akili aliyokujalia mwenyezi Mungu utakuwa unakufuru.

Hiyo biblia unayoiona imeandika na maelites usidhano kuna mtu alikuwa hana elimu alishiriki kuandika biblia.

Theology inazungumzia kila kitu hapa duniani in relation to God. Ata sayansi inazungumziwa na theology km ukivamia biblia na ujinga utakuwa mkristo asiye na meno (kibogoyo).

Kwa wakatolic mtu ambaye hajui au mwenye uelewa wa kawaida wa tafsiri za baadhi ya theologies ktk biblia na kanisani huwa tunawaita LAYMEN, ndiyo maana kanisa katoliki huwezi kulitenga na elimu zote elimu ya Mungu theology na elimu dunia.

Wakatoliki tunaishi kwa misingi hakuna upuuzi km wakina WOKIWA, GWAJIMA , Lusekelo kujifanya manabii.
 
Back
Top Bottom