kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Hahah et kama bulldozer. Hiyo ni nguvu iliyoko ndan fuatilia makanisa yote ya kiroho hakuna anaeomba taratibuMbona jamaa anatumia nguvu nyingi kama bulldozer
[emoji1] [emoji1] [emoji1] basi makubwa.Hahah et kama bulldozer. Hiyo ni nguvu iliyoko ndan fuatilia makanisa yote ya kiroho hakuna anaeomba taratibu
Atakuwa live home kwenu au wapiWakuu habari za mchana, mbali na ufafanuzi alioutoa leo Askofu Gwajima kanisani kwake, juu ya sakata la tuhuma alizopewa na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambazo zimethibitishwa na mkemia Mkuu kuwa ni za Uongo, ameyafafanua hayo leo, na pia atakuwa LIVE mubasharaaaa..... tena leo saa Tatu Usiku ......
akimwaga cheche, hope atayasema yale yote ya moyoni.
jana nilimshauri makonda hapa JF ampigie simu wayamalize lakini...sijui kama aliipata taarifa yangu..ila kama hakuipata naomba aambiwe ili amuombe msamaha kabisa hayo mambo yaishe japo kamuaibisha sana na sijui atamsafishaje ......HAKIKA MALIPO YA HII TUHUMA NI KUBWA SANA.
aliye karibu amshauri MAKONDA aende kanisani Ufufuo na Uzima akawaombe msamaha waumini wake wote na yeye.
taarifa nitaziweka hapa jamvini.
LIVE MUBASHARA......................................Wakuu habari za mchana, mbali na ufafanuzi alioutoa leo Askofu Gwajima kanisani kwake, juu ya sakata la tuhuma alizopewa na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambazo zimethibitishwa na mkemia Mkuu kuwa ni za Uongo, ameyafafanua hayo leo, na pia atakuwa LIVE mubasharaaaa..... tena leo saa Tatu Usiku ......
akimwaga cheche, hope atayasema yale yote ya moyoni.
jana nilimshauri makonda hapa JF ampigie simu wayamalize lakini...sijui kama aliipata taarifa yangu..ila kama hakuipata naomba aambiwe ili amuombe msamaha kabisa hayo mambo yaishe japo kamuaibisha sana na sijui atamsafishaje ......HAKIKA MALIPO YA HII TUHUMA NI KUBWA SANA.
aliye karibu amshauri MAKONDA aende kanisani Ufufuo na Uzima akawaombe msamaha waumini wake wote na yeye.
taarifa nitaziweka hapa jamvini.
Mbona makonda anatumia nguvu ya Polisi hamsemi, na kashatangaza saivi hatalalaa tenaaaaa atakuwa macho mkisema tu anawalipua juu kwa juuMbona jamaa anatumia nguvu nyingi kama bulldozer
Live kutoka Tv gani au radio gani?Wakuu habari za mchana, mbali na ufafanuzi alioutoa leo Askofu Gwajima kanisani kwake, juu ya sakata la tuhuma alizopewa na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambazo zimethibitishwa na mkemia Mkuu kuwa ni za Uongo, ameyafafanua hayo leo, na pia atakuwa LIVE mubasharaaaa..... tena leo saa Tatu Usiku ......
akimwaga cheche, hope atayasema yale yote ya moyoni.
jana nilimshauri makonda hapa JF ampigie simu wayamalize lakini...sijui kama aliipata taarifa yangu..ila kama hakuipata naomba aambiwe ili amuombe msamaha kabisa hayo mambo yaishe japo kamuaibisha sana na sijui atamsafishaje ......HAKIKA MALIPO YA HII TUHUMA NI KUBWA SANA.
aliye karibu amshauri MAKONDA aende kanisani Ufufuo na Uzima akawaombe msamaha waumini wake wote na yeye.
taarifa nitaziweka hapa jamvini.
Hamjaona chochote bado. Tulieni.Mbona jamaa anatumia nguvu nyingi kama bulldozer
Usipate presha na povu tulia tuHuna uhakika TV gani funga bakuli lako ujinga Hui peleka ukweni nyambafu!!!
UmeniwahiTelevision gn?