kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 625
Wakuu habari za mchana, mbali na ufafanuzi alioutoa leo Askofu Gwajima kanisani kwake, juu ya sakata la tuhuma alizopewa na Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ambazo zimethibitishwa na mkemia Mkuu kuwa ni za Uongo, ameyafafanua hayo leo, na pia atakuwa LIVE mubasharaaaa..... tena leo saa Tatu Usiku ......
akimwaga cheche, hope atayasema yale yote ya moyoni.
jana nilimshauri makonda hapa JF ampigie simu wayamalize lakini...sijui kama aliipata taarifa yangu..ila kama hakuipata naomba aambiwe ili amuombe msamaha kabisa hayo mambo yaishe japo kamuaibisha sana na sijui atamsafishaje ......HAKIKA MALIPO YA HII TUHUMA NI KUBWA SANA.
aliye karibu amshauri MAKONDA aende kanisani Ufufuo na Uzima akawaombe msamaha waumini wake wote na yeye.
taarifa nitaziweka hapa jamvini.