Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Askofu wa Dayosisi ya kKKT Karagwe, Askofu Bagonza akizungumza katika misa ya uzinduzi wa Sharika mpya katika Jimbo la Ihembe amewataka waaamini kuendelea kumuomba Mungu katika uchaguzi huu ili kupata amani itakayoletwa na haki na si virungu, mabomu wala bunduki.
"Tumuombe Mungu ili haki ilete amani, Tumuombe Mungu atuepushe na amani inayoletwa na bunduki, Tumuombe Mungu atuepushe na amani inayoletwa na virungu wala mabomu bali haki ilete amani na watu wote waishi kwa furaha katika taifa letu pendwa ambalo Mungu ametuweka" - Askofu Bagonza