ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayesimamia Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, Tuna taifa linaloumwa lakini halijui kama linaumwa .
"Ni vema tukafanya haraka kulitibu taifa kabla halijajitambua kama linaumwa, sasa linaumwa lakini halijui kama linaumwa, siku likitambua linaumwa nguvu zote zinaisha". Askofu Bagonza