GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,170
Huyo sheikh asitutisheKamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
EastAfricaTV
Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Ni makosa makubwa sana kugeuza Kanisa ama msikikiti kuwa jukwaa la kampeni za kisiasa.Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mw=enyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
EastAfricaTV
Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Yeye mbona ni CCM pure
Ni makosa makubwa sana kugeuza Kanisa ama msikikiti kuwa jukwaa la kampeni za kisiasa.
Ikiwa jambo hili halitakemewa basi hatutabaki na nchi. Hata nchi zilizoendelea Kuna sheria kabisa kuwa mtu yeyote ni makosa kutumia jukwaa la kidini kumpigia kampeni mgombeaji yeyote.
Sahihi mkuuAlikuwa anajua cdm haiwezi kuwa na viongozi wa dini wanaoikubali, hivyo anaona wananchi watazidi kuwa na imani na cdm iwapo watatokea viongozi wa dini hadharani kuwaunga mkono.
Nazugumzia pande zote.Uko sahihi sana, ila viongozi wa dini wakiisifia ccm ni sawa, lakini wakijinasibu na cdm ndio inakuwa sio sawa!
Nazugumzia pande zote.
Tena CCM lialia.Yeye mbona ni CCM pure
Weka picha ya huyo kiboko wa ziwa victroria, maana nimeshindwa kutambua.Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
EastAfricaTV
Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.
Swaga za kipuuzi.Kamati ya amani nchini inayoongozwa na Mwenyekiti wake na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhadi Mussa, imepiga marufuku makanisa na misikiti, kutumika kumfanyia kampeni mgombea yoyote wa chama cha siasa kwa kuwa kufanya hivyo ni kuwanyima haki waumini wake.
EastAfricaTV
Ngojeni sasa GENTAMYCINE nishinde Uchaguzi huu mtaona hilo Kanisa Mwenge Jeshini litaondoka tu na nitamchafua Mtu kwa KKKT wamuondoe.