Askofu Bagonza: Mwigulu na haki ya papo kwa papo au haki ya fasta

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,614
Reaction score
40,161
MWIGULU na HAKI ya PAPO kwa PAPO au HAKI FASTA

Katikati ya mkwamo wetu, Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba ameibuka na njia mpya iliyokuwapo zamani. Ni Njia ya HAKI YA PAPO KWA PAPO au HAKI FASTA. Nampongeza. Wajaluo wanasema, “usiku ukigoma kupambazuka unaamua kuamka na kuanza kazi”.

Nashauri: Tusimkatishe tamaa kwamba naye atashindwa kama walivyoshindwa akina Sokoine, Mrema, Lowasa na JPM. Kila mtu ana nyota yake. Wajaluo wanazuia mtu kupumulia pua ya mwenzake.

Kwa kuwa ameamua, nami namtia moyo kwa kumshauri. Azingatie yafuatayo hata kama hatayapenda:

1. Mfumo wetu wote ni mbovu. Ni kama unachota maji na kuweka kwenye ndoo yenye matobo. Haitajaa. Ziba matobo.

2. ⁠Aliyekuteua ndiye aliyewateua unaowawajibisha na kuwabaragaza mikutanoni. Naamini miongoni mwao, wanaweza kuwemo wanaosikilizwa kuliko wewe. Sikushauri ukimbie au uende polepole, na kukaa katikati ni pagumu. Komaa kama wale jamaa.

3. ⁠Makamu M/Kiti wa chama chetu ametangaza kuwa hali ya rushwa ni mbaya sana. Wapo wasiogusika na wakiguswa hatutakuwa salama. Wasipoguswa rushwa haiishi. Kansa hii imo hata ndani ya Takukuru! Tufanyeje? Jifanye unaishughulikia na yenyewe itajifanya inashughulikiwa.

4. unachofanya ni kama kutumia ndoo ya mchanga kuzima moto wakati anasubiri gari la FIRE ambalo halina maji! Inasaidia kujenga matumaini.

5. Kuna mamia ya wakandarasi na wafanya biashara wanaoidai serikali mabilioni. Wengine wamefilisika, wengine wakafa na wengine wana kesi mahakamani. Kibaya, wengine wakidai wanaambiwa “ipigwe pasu”. Mtu akikataa alipwi. Kama PM yuko serious, Ebu jaribu kumpa siku 7 anayedaiwa awalipe toka mfukoni mwake!

6. kuna watendaji wanatamani uwaamuru wawalipe wanaodai kutoka mifukoni mwao ili ukiondoka wajirudishie mara kumi. Haki ya papo kwa papo ina matobo. Nimesikia, sikuota.

7. Haki Fasta ina sharti moja kuu lisilobadilika. “Toa kwanza boriti kabla ya kuona kibanzi.” “Waliomzushia” mke wake kuwa ana magari ya Esther wanajipanga kuja na mengine. Nakusihi uwawahi. Kama una lisilo sawa kwenye “integrity box”, tangaza kabla hawajatangaza. Unaweza kuzushiwa “kutwisha mimba wakati wewe uliishafunga”.

8. Hii vita isiwe yako mwenyewe. Jisafisheni nyote na muinuke wote. Kila mmoja wenu aimbe HAKI. Mtatoboa. Msiionee haya HAKI, itawavusha. Sitamani kusikia siku moja ukilia “Baba/Mama mbona umeniacha?” Nafasi hiyo haina comprensive insurance.

9. Nia yako ni njema, lakini haitoshi. Wakati ndio mbaya na tuna vita nyingi kwa wakati mmoja. Ukiamua kurudi nyuma, rudi kinyume nyume, usigeuke na kupiga mbio. Watakumaliza kwa mishale.

10. Vita hii haitaki kuchanganywa na hila. Usimruhusu mtu kukushirikisha mpango wa hila hata kama mliwahi kufanya hila pamoja. Pia usidiriki kumshauri mkubwa wako kufanya hila. Si unajua? Hata akifanya ikabuma, unakamatwa wewe!

11. Matatizo ni mengi sana. Majibu mmeyakalia. Taifa ni kubwa mno. Haliwezi kuongozwa na muono mmoja. Hata Musa alihitaji msaada. Ridhianeni na neno HAKI, baraka zitafunguka.

Wajaluo wanasema, “Akusindikizaye asiweze kukufikisha, ni bora arudi nyumbani uendelee peke yako na kuzoea safari”. Nami narudi.

Mnaopenda kutukana, itukane rushwa iondoke.
 
hayo maneno ya mwisho " akusindikizae na asiweze kukufikisha ni bora arudi nyumbani uendelee peke yako na kuzoea safari" yananitosha kwa leo
Hii...Imegonga Kwenye Nyanja Nyingi Mnoo Za Kimaisha...Sharti..!!Asindikizae Ni Lazima Akufikishe..
 
DAAAAH HAKIKA UMEFAFANUA KAMA NABII ., HAKIKA WEWE NI NABII KIFICHO.
PHD BANGOZA NI NABII WA KIFICHO!!!
 
hayo maneno ya mwisho " akusindikizae na asiweze kukufikisha ni bora arudi nyumbani uendelee peke yako na kuzoea safari" yananitosha kwa leo
Sio mtu anakugusagusa tu na kukupaka majasho na kukuacha bado una hamu, ahakikishe umefika unakokwenda kweli
 
MWIGULU na HAKI ya PAPO kwa PAPO au HAKI FASTA

Katikati ya mkwamo wetu, Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba ameibuka na njia mpya iliyokuwapo zamani. Ni Njia ya HAKI YA PAPO KWA PAPO au HAKI FASTA. Nampongeza. Wajaluo wanasema, “usiku ukigoma kupambazuka unaamua kuamka na kuanza kazi”.

Nashauri: Tusimkatishe tamaa kwamba naye atashindwa kama walivyoshindwa akina Sokoine, Mrema, Lowasa na JPM. Kila mtu ana nyota yake. Wajaluo wanazuia mtu kupumulia pua ya mwenzake.

Kwa kuwa ameamua, nami namtia moyo kwa kumshauri. Azingatie yafuatayo hata kama hatayapenda:

1. Mfumo wetu wote ni mbovu. Ni kama unachota maji na kuweka kwenye ndoo yenye matobo. Haitajaa. Ziba matobo.

2. ⁠Aliyekuteua ndiye aliyewateua unaowawajibisha na kuwabaragaza mikutanoni. Naamini miongoni mwao, wanaweza kuwemo wanaosikilizwa kuliko wewe. Sikushauri ukimbie au uende polepole, na kukaa katikati ni pagumu. Komaa kama wale jamaa.

3. ⁠Makamu M/Kiti wa chama chetu ametangaza kuwa hali ya rushwa ni mbaya sana. Wapo wasiogusika na wakiguswa hatutakuwa salama. Wasipoguswa rushwa haiishi. Kansa hii imo hata ndani ya Takukuru! Tufanyeje? Jifanye unaishughulikia na yenyewe itajifanya inashughulikiwa.

4. unachofanya ni kama kutumia ndoo ya mchanga kuzima moto wakati anasubiri gari la FIRE ambalo halina maji! Inasaidia kujenga matumaini.

5. Kuna mamia ya wakandarasi na wafanya biashara wanaoidai serikali mabilioni. Wengine wamefilisika, wengine wakafa na wengine wana kesi mahakamani. Kibaya, wengine wakidai wanaambiwa “ipigwe pasu”. Mtu akikataa alipwi. Kama PM yuko serious, Ebu jaribu kumpa siku 7 anayedaiwa awalipe toka mfukoni mwake!

6. kuna watendaji wanatamani uwaamuru wawalipe wanaodai kutoka mifukoni mwao ili ukiondoka wajirudishie mara kumi. Haki ya papo kwa papo ina matobo. Nimesikia, sikuota.

7. Haki Fasta ina sharti moja kuu lisilobadilika. “Toa kwanza boriti kabla ya kuona kibanzi.” “Waliomzushia” mke wake kuwa ana magari ya Esther wanajipanga kuja na mengine. Nakusihi uwawahi. Kama una lisilo sawa kwenye “integrity box”, tangaza kabla hawajatangaza. Unaweza kuzushiwa “kutwisha mimba wakati wewe uliishafunga”.

8. Hii vita isiwe yako mwenyewe. Jisafisheni nyote na muinuke wote. Kila mmoja wenu aimbe HAKI. Mtatoboa. Msiionee haya HAKI, itawavusha. Sitamani kusikia siku moja ukilia “Baba/Mama mbona umeniacha?” Nafasi hiyo haina comprensive insurance.

9. Nia yako ni njema, lakini haitoshi. Wakati ndio mbaya na tuna vita nyingi kwa wakati mmoja. Ukiamua kurudi nyuma, rudi kinyume nyume, usigeuke na kupiga mbio. Watakumaliza kwa mishale.

10. Vita hii haitaki kuchanganywa na hila. Usimruhusu mtu kukushirikisha mpango wa hila hata kama mliwahi kufanya hila pamoja. Pia usidiriki kumshauri mkubwa wako kufanya hila. Si unajua? Hata akifanya ikabuma, unakamatwa wewe!

11. Matatizo ni mengi sana. Majibu mmeyakalia. Taifa ni kubwa mno. Haliwezi kuongozwa na muono mmoja. Hata Musa alihitaji msaada. Ridhianeni na neno HAKI, baraka zitafunguka.

Wajaluo wanasema, “Akusindikizaye asiweze kukufikisha, ni bora arudi nyumbani uendelee peke yako na kuzoea safari”. Nami narudi.

Mnaopenda kutukana, itukane rushwa iondoke.
kwa wakati askofu kalikawe huwa anavidhulumu vischana vya waamini wake kwa kuvivpiga ngono ya fasta fasta ofisini au anavipa haki yao kingono papo kwa papo hata kwenye gari lake? :1Head:
 
Kichaaa huwezi Elena andiko kama hilo
 
Namba 5 huyo PM ndo chanzo cha hayo matatizo ya wakandarasi unayoyaona mpaka hivi sasa kwa maamuzi yake ya kuua mfuko wa barabara (Road Fund) ambazo zilikuwa zinaenda moja kwa moja kwaajili ya matengenezo ya barabara zetu matokeo yetu tunayaona hivi sasa barabara nyingi ziko hoi
 
kwa wakati askofu kalikawe huwa anavidhulumu vischana vya waamini wake kwa kuvivpiga ngono ya fasta fasta ofisini au anavipa haki yao kingono papo kwa papo hata kwenye gari lake? :1Head:
Nilijua zuzu utakuja TU kwenye mada ya wenye akili utuonyeshe ulivyo mpumbavu
 
kwa wakati askofu kalikawe huwa anavidhulumu vischana vya waamini wake kwa kuvivpiga ngono ya fasta fasta ofisini au anavipa haki yao kingono papo kwa papo hata kwenye gari lake? :1Head:
Umezaliwa na mama malaya wa Buguruni, uwezi elewa PhD
 
Back
Top Bottom