Askofu Bagonza; Kabla ya Katiba Mpya...

Askofu Bagonza; Kabla ya Katiba Mpya...

Mm to Dr rt
KABLA YA KATIBA MPYA...

1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi.

2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini.

3. Kabla ya Agano Jipya (Katiba Mpya), Musa alikuwa ni gaidi machoni pa Farao (Firauni).

4. Kabla ya ufufuko (Katiba Mpya) Bwana Yesu Kristo alikuwa na tuhuma za ugaidi na uhaini mbele ya utawala wa Kiyahudi.

5. Kabla ya Muswada ulioleta "Tamko la Haki kwa wote" (Katiba Mpya) huko Marekani, Mwanamke na mtu mweusi kudai kupiga kura ilikuwa ni kitendo cha ugaidi.

6. Kabla ya SUK huko Zanzibar, hayati Maalim Seif alikuwa gaidi, kibaraka wa Usultani na mtuhumiwa wa uhaini.

7. Kabla ya CCM Mpya ("Katiba Mpya"), Waitara, Prof Mkumbo, Mollel, Gekul, Katambi, Silinde, Kafulila, hayati Mgwira nk walikuwa vibaraka wa ubeberu na sasa ni wazalendo.

8.Kabla ya msiba wa kitaifa (Katiba Mpya), Mama SSH alikuwa ni Mshauri wa Rais (Asiyelazimisha ushauri wake), Sasa ni Mshauriwa (Asiyelazimishwa na washauri).

Tunajifunza Nini?

A. Ugaidi ni dhana na silaha ya mtawala dhidi ya mtawaliwa.

B. Muda ndio mwamuzi wa kweli na WA haki.

C. Watawaliwa huteseka; watawala hujuta.

D. Bora mateso kuliko majuto.

E. Katika harakati za kupata madaraka, kila aliyewahi kutawala aliwahi kuonekana ni gaidi mbele ya anaoshindana nao. Hata ndani ya CCM "Magaidi" ni wengi dhidi ya SSH.

Wanaomtuhumu Mbowe kuwa gaidi leo, watakuwa Magaidi wa mfumo wakati ujao. Kama utofauti wa mawazo ni ugaidi, wapo Magaidi wa kutosha ndani ya vyama, nyumba za ibada, familia hata makaburini.
OK i r
 
Huyu askofu Bagonza apewe karipio, achague moja either afanye kazi za uaskofu au Siasa, maaana anatuchanganya sisi waumini.
leo hii wakiingia masheke, wachungaji kwenye siasa tutawagawa waumini.
Bagonza akemewe mara moja.
Wewe wasema.Dini na siasa = jembe na mpini.
 
Bora Mateso kuliko majuto Huyu Baba Askofu ni noma.
 
Huyu askofu Bagonza apewe karipio, achague moja either afanye kazi za uaskofu au Siasa, maaana anatuchanganya sisi waumini.
leo hii wakiingia masheke, wachungaji kwenye siasa tutawagawa waumini.
Bagonza akemewe mara moja.
Musa alikuwa waziri wa Serikalo ya Farao huku akiwa Nabii. Mfalme Daudi alikuwa Nabii huku akiwa Rais, Daniel alikuwa Nabii huku akiwa Waziri katika serikali ya Babeli chini ya Nebukadneza na baadae Kwa Mfalme Belshaza na Dario. Nabii Jeremia alikuwa kama Askofu Bagonza aliwaonya watawala waovu woote bila kupepesa macho
 
Nae huyu keshajichokea!

Bagonza ni kadikteta kule kwenye dayosisi yake haina mfano! Pia ni mkabila balaa

Kwanza unaweza kukuta ana hata hirizi.

Kwa Bagonza phd yake kwanza Mungu baadae.
Busara umeshindwa kuonyesha bali umeonyesha Tabia yako isivyo na Busara kwa Mtu anayekuzidi kila kitu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Huyu askofu Bagonza apewe karipio, achague moja either afanye kazi za uaskofu au Siasa, maaana anatuchanganya sisi waumini.
leo hii wakiingia masheke, wachungaji kwenye siasa tutawagawa waumini.
Bagonza akemewe mara moja.
Hoja hujibiwa kwa Hoja sio Kalipio Kalipio ni KUSHINDWA kujibu Hoja ni UDIKTETA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Makanisa ya sasa kuna wachungaji wafanya biashara wakubwa wako kwenye makanisa kwa kukwepa kulipa kodi.
1. Dini ni kitu muhimu kwa taifa kama bibilia ama musahafu ukifuatwa. Kama nchi ingefuata VITABU hivi hata huu ujinga wa katiba mpya usingekuwepo.

2. Kanisa la KKKK kuna viongozi wazuri na wapenda haki, lakini Kuna baadhi ya viongozi waliojificha kwenye kanisa hilo ni mwafanya biashara wakubwa na wezi, wadhulumaji na hawajui maana ya dini ni nini.

3. Hakuna kanisa lililotuhumiwa na wananchi kwa kupola aridhi zao kama kanisa la KKKK. Na hakuna kanisa liliobululwa kortini kwa thuluma kama KKKK. Hakuna kanisa kilikuwa likitumia fedha kuhonga na kudhulumu wanyonge kama KKKKK. Kwa serikali ya Hayati Magufuli liyojitolea kutetea haki za wote BAGONZA kama Mbowe, wanaoishi kwa kujificha kwenye makanisa na siasa, lazima ingewauthi. Kuna viongozi wazuri kwenye kanisa hilo, lakini limeingiliwa na wachungaji waliovaa kola ya uchungajim kuficha maovu yao. Utawaona kwa unene wao. Kula bila ya kipimo. Mmoja wa wachungaji hawo ni BAGONZA.

4. Katiba wanayoiimba ni makubaliano yanayoandikwa , na haiji na jeshi, polisi wala jela ya mkuwaadhibun watakayo ivunja. . Ni serikali iliyopo ndiyo inaweza kuitekeleza na kuichunga. Tanzania tunahitaji kiongozi bora, mwaminifu na asiyekuwa na ubinafsi mufano wa Hayati Magufuli ama Kagemi.

5. Katiba yetu ya sasa hairuhusu kiongozi yeyote kuiba ama kutumia mali za umma kwa manufaa yake mwenyewe. Tumemuona anayepiga kelele kwa katiba mpya na demokrasia kwenye chama chake hakina demokrasia. Miaka nenda miaka rudi ni yeye kiongozi wa chama pamoja na kula fedha za wabunge na chama. AJABU ASKOFU BANGONZA NDIYE MUTETEZI WA HAYA MAOVU. NIONYESHE RAFIKI YAKO NITAKUAMBIA WEWE NI MTU WA AINA GANI.

6. ANAYESEMA ATATULETEA KATIBA KUBWA, Mbowe, ni mufanya biashara, yuko, kwenye siasa kujenga biashara zake. Ni mwanasiasa aliyekuwa na club inayosambaza madawa ya kulevya Dar es Salaam nzima, bila ya kuchukuliwa hatuwa kwa connection zake kisiasa. Ni mufanya biashara aliyetumia jengo la serikali kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kodi wala kodi ya mapato, akifhungwa na nafasi yake kwenye siasa. Ni Hayati Maguguli aliyebomowa mitandao huu. Asingekuwa Hayati Magufuli jengo hilo angejinafisisha. Je hawa wana interest gani pamoja? BAGONZA YUKO KWENYE UASIKOFU KWA TUMBO LAKE NA SIO KUWAONGOZA WATANZANIA KIROHO. YEYE NA MBOWE WAKO KWENYE SIASA KWA MANUFAA YAO.

7. MAMA Samia kuijenga Tanzania hana choice lazima legacy ya Hayati Magufuli iendelee. Watu walipe kodi, sio kwa kutaka bali lazima. Apigane na ufisadi, kitu kinachonwauwa waafrika zaidi kuhusu kitu chochote ikiwa pamoja na magonjwa na vita. Aangalie wawekezaji wanaokuja kuwekeza kama uwekezaji wao una faida kwa nchi na sio namba ya wawekezaji

Tanzania inahitaji serikali yenye uongozi bora wenye viongozi wenye integrit. Tanzania ni tajiri lakini tumekuwa masikini kwa uongozi mbaya wa miaka mingi. Hayati Maguguli katuonyesha tunaweza kwa miaka mitano aliyokuwa madarakani amefanya pale waliomutangulia walishindwa.

wstu kama BAGONZA wanaweza kusema chochote, kumuita Hayati Magufuli majina yeyote, hawatayafuta yote aliyoyafanya. Kawaonyesha Watanzania wanaweza Na wao sio masikini Wakiwa na viongozi bora, sio kwa hotuba tu, bali kwa vitendo. ASKOFU KAMA BAGONZA NI NI ASKOFU KWA JINA TU, NACSIO KWA VITENDO. ASITUMIE DINI KUWADANGANYA
WATANZANIA.

Sio bure, umerogwa wewe!
 
8.Kabla ya msiba wa kitaifa (Katiba Mpya), Mama SSH alikuwa ni Mshauri wa Rais (Asiyelazimisha ushauri wake), Sasa ni Mshauriwa (Asiyelazimishwa na washauri).
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
uwe na elimu ya kuelewa
Hivi wakialikwa wenye elimu na wewe utahudhuria? Umeandika upumbavu uliokujaa kichwani mwako tena Kwa kiwashambulia watu binafsi badala ya kujibu hoja zao! Halafu maandishi Yako yamejaa makosa ya kisarufi na kimuundo na inadhihirisha uwepo wa upepo ndani ya ubongo wako! Utakuwa mtu wa ng'ambo wewe Kwa kiswahili chako hiki!
Hivi, unaweza kuthibitisha madai Yako Kwa kanisa la KKKT na viongozi wao?
 
Nae huyu keshajichokea!

Bagonza ni kadikteta kule kwenye dayosisi yake haina mfano! Pia ni mkabila balaa

Kwanza unaweza kukuta ana hata hirizi.

Kwa Bagonza phd yake kwanza Mungu baadae.
Wewe kila anaekuja na mawazo tofauti na genge lenu unamshambulia kwa maneno ya dhihaka.
Hilo ndio tatizo la kutokea familia masikini na yenye manyanyaso.
Unaonekana.
Unaonekana umekulia maisha ya shida Sana wewe.
CCM ndio imekufanya uyaone maisha..
Pole.
 
Huyu askofu Bagonza apewe karipio, achague moja either afanye kazi za uaskofu au Siasa, maaana anatuchanganya sisi waumini.
leo hii wakiingia masheke, wachungaji kwenye siasa tutawagawa waumini.
Bagonza akemewe mara moja.
Kabla ya karipio je aliyoyasema yana unwell??????

FB_IMG_1627178763635.jpg
 
Huyu askofu Bagonza apewe karipio, achague moja either afanye kazi za uaskofu au Siasa, maaana anatuchanganya sisi waumini.
leo hii wakiingia masheke, wachungaji kwenye siasa tutawagawa waumini.
Bagonza akemewe mara moja.
Hivi hapo siasa ni ipi. Alichokieleza ndiyo ukweli wenyewe. Ukweli unadtahili kunenwa na kila mwenye akili, uaminifu wa nafsi yake na asiyependa unafiki.

Furahia kusikia ukweli, wala usipende kuwa kwenye ndoa na waongo na wanafiki.

Asante Askofu Bagonza kwa hekima hii utupatiayo wana wa Mungu. Hii ndiyo maana ya kuweka mshumaa juu ili umulike na kutoa mwanga, na siyo kuuweka uvunguni.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
hivi kwa nn viongozi wenzake hawamshauri aachane na mambo ya siasa badala yake ajikite kwenye mambo ya kiroho?!!
lkn wanaendana sana na msaka tonge Lwaitama
Ukiwa punguani kama ulivyo, ni vigumu kutambua kuwa maneno haya ya Askofu Bagonza ndiyo injilibya kweli kwa wakati huu tuuishio.
 
Makanisa ya sasa kuna wachungaji wafanya biashara wakubwa wako kwenye makanisa kwa kukwepa kulipa kodi.
1. Dini ni kitu muhimu kwa taifa kama bibilia ama musahafu ukifuatwa. Kama nchi ingefuata VITABU hivi hata huu ujinga wa katiba mpya usingekuwepo.

2. Kanisa la KKKK kuna viongozi wazuri na wapenda haki, lakini Kuna baadhi ya viongozi waliojificha kwenye kanisa hilo ni mwafanya biashara wakubwa na wezi, wadhulumaji na hawajui maana ya dini ni nini.

3. Hakuna kanisa lililotuhumiwa na wananchi kwa kupola aridhi zao kama kanisa la KKKK. Na hakuna kanisa liliobululwa kortini kwa thuluma kama KKKK. Hakuna kanisa kilikuwa likitumia fedha kuhonga na kudhulumu wanyonge kama KKKKK. Kwa serikali ya Hayati Magufuli liyojitolea kutetea haki za wote BAGONZA kama Mbowe, wanaoishi kwa kujificha kwenye makanisa na siasa, lazima ingewauthi. Kuna viongozi wazuri kwenye kanisa hilo, lakini limeingiliwa na wachungaji waliovaa kola ya uchungajim kuficha maovu yao. Utawaona kwa unene wao. Kula bila ya kipimo. Mmoja wa wachungaji hawo ni BAGONZA.

4. Katiba wanayoiimba ni makubaliano yanayoandikwa , na haiji na jeshi, polisi wala jela ya mkuwaadhibun watakayo ivunja. . Ni serikali iliyopo ndiyo inaweza kuitekeleza na kuichunga. Tanzania tunahitaji kiongozi bora, mwaminifu na asiyekuwa na ubinafsi mufano wa Hayati Magufuli ama Kagemi.

5. Katiba yetu ya sasa hairuhusu kiongozi yeyote kuiba ama kutumia mali za umma kwa manufaa yake mwenyewe. Tumemuona anayepiga kelele kwa katiba mpya na demokrasia kwenye chama chake hakina demokrasia. Miaka nenda miaka rudi ni yeye kiongozi wa chama pamoja na kula fedha za wabunge na chama. AJABU ASKOFU BANGONZA NDIYE MUTETEZI WA HAYA MAOVU. NIONYESHE RAFIKI YAKO NITAKUAMBIA WEWE NI MTU WA AINA GANI.

6. ANAYESEMA ATATULETEA KATIBA KUBWA, Mbowe, ni mufanya biashara, yuko, kwenye siasa kujenga biashara zake. Ni mwanasiasa aliyekuwa na club inayosambaza madawa ya kulevya Dar es Salaam nzima, bila ya kuchukuliwa hatuwa kwa connection zake kisiasa. Ni mufanya biashara aliyetumia jengo la serikali kwa zaidi ya miaka kumi bila ya kodi wala kodi ya mapato, akifhungwa na nafasi yake kwenye siasa. Ni Hayati Maguguli aliyebomowa mitandao huu. Asingekuwa Hayati Magufuli jengo hilo angejinafisisha. Je hawa wana interest gani pamoja? BAGONZA YUKO KWENYE UASIKOFU KWA TUMBO LAKE NA SIO KUWAONGOZA WATANZANIA KIROHO. YEYE NA MBOWE WAKO KWENYE SIASA KWA MANUFAA YAO.

7. MAMA Samia kuijenga Tanzania hana choice lazima legacy ya Hayati Magufuli iendelee. Watu walipe kodi, sio kwa kutaka bali lazima. Apigane na ufisadi, kitu kinachonwauwa waafrika zaidi kuhusu kitu chochote ikiwa pamoja na magonjwa na vita. Aangalie wawekezaji wanaokuja kuwekeza kama uwekezaji wao una faida kwa nchi na sio namba ya wawekezaji

Tanzania inahitaji serikali yenye uongozi bora wenye viongozi wenye integrit. Tanzania ni tajiri lakini tumekuwa masikini kwa uongozi mbaya wa miaka mingi. Hayati Maguguli katuonyesha tunaweza kwa miaka mitano aliyokuwa madarakani amefanya pale waliomutangulia walishindwa.

wstu kama BAGONZA wanaweza kusema chochote, kumuita Hayati Magufuli majina yeyote, hawatayafuta yote aliyoyafanya. Kawaonyesha Watanzania wanaweza Na wao sio masikini Wakiwa na viongozi bora, sio kwa hotuba tu, bali kwa vitendo. ASKOFU KAMA BAGONZA NI NI ASKOFU KWA JINA TU, NACSIO KWA VITENDO. ASITUMIE DINI KUWADANGANYA
WATANZANIA.

Umekosa uelewa na hekima.

Hatutafuti katiba ya Mbowe, bali katiba ya Taifa la Tanzania. Kwa ujinga wako mwingi, umetumia muda wako kumjadili Mbowe badala ya katiba ambayo, kutokana na ripoti ya Mzee wa hekima Sinde Warioba, wananchi walisrma wanataka katiba mpya.

Chuki zako kwa Mbowe zimefubaza akili yako, zimekuondolea hekima, zimekufanya kuwa kioja mbele ya wenye akili na walio wakweli kwa nafsi zao.
 
Back
Top Bottom