Askofu Bagonza: Hekima za Wanyambo

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,079
23,961
*Na Baba Askofu Bagonza*✍✍

HEKIMA ZA WANYAMBO

"Jitu litishalo likikumbiza mwendo mrefu bila kukata tamaa, husababisha woga wako uishe"

"Mbu akitua kwenye korodani, hukufanya ujifunze kutumia akili kumwondoa kuliko kutumia nguvu".

"Ugomvi kati ya aliye na silaha na asiye nayo, huamuliwa na wakati"

"Tabia yako wakati wa mgogoro ndiyo huamua utaishije baada ya mgogoro. Usigeuze aibu kuwa hasira".

Kwa matumizi ya nguvu, utawashinda wote lakini hawa huwawezi:

1. Corona virus
2. Ujinga
3. Umaskini
4. Nguvu ya hoja
5. Mahesabu
6. Mioyo ya wafuasi
7. Uzalendo
8. Uzima wa milele

Umezidi mpaka kama:

1. Umeiba na kuficha, kisha ukasahau umeficha wapi

2. Umedanganywa, kisha ukadanganya kuliko aliyekudanganya,

3. Unaposimulia tukio ambalo hukuwapo kuliko aliyekuwepo.

Kweli tumesifiwa kuwa tunajua kukimbia, tukapitiliza hata nyumbani kwetu.

Kumpiga mwanamke yeyote ni kumpiga mama yako.
 
Remote, Baba askofu, mi nakuelewa sana....
GOD bless you!!!
tapatalk_gif_1584235558731.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ziko wapi zile zama za siasa za majukwaani?

Hoja inapaswa kujibiwa kwa hoja na sio kwa ubabe au mtutu.

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwe neutral always.

Hiyo ndio inayoitwa siasa.

Namsalimia Baba Askofu Bagonza!
 
Umezidi mpaka kama:

1. Umeiba na kuficha, kisha ukasahau umeficha wapi

2. Umedanganywa, kisha ukadanganya kuliko aliyekudanganya,

3. Unaposimulia tukio ambalo hukuwapo kuliko aliyekuwepo.

Kweli tumesifiwa kuwa tunajua kukimbia, tukapitiliza hata nyumbani kwetu.

Kumpiga mwanamke yeyote ni kumpiga mama yako.

Jr
 
Maneno haya yanaweza kutuokea na janga hili kubwa la ulimwengu mzima endapo waungwana watakubali kuchutama.
 
Ziko wapi zile zama za siasa za majukwaani?

Hoja inapaswa kujibiwa kwa hoja na sio kwa ubabe au mtutu.

Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama viwe neutral always.

Hiyo ndio inayoitwa siasa.

Namsalimia Baba Askofu Bagonza!
Kumbe Tata Askofu alikuwa unaongelea mambo ya siasa?
 
*Na Baba Askofu Bagonza*

HEKIMA ZA WANYAMBO

"Jitu litishalo likikumbiza mwendo mrefu bila kukata tamaa, husababisha woga wako uishe"

"Mbu akitua kwenye korodani, hukufanya ujifunze kutumia akili kumwondoa kuliko kutumia nguvu".

"Ugomvi kati ya aliye na silaha na asiye nayo, huamuliwa na wakati"

"Tabia yako wakati wa mgogoro ndiyo huamua utaishije baada ya mgogoro. Usigeuze aibu kuwa hasira".

Kwa matumizi ya nguvu, utawashinda wote lakini hawa huwawezi:

1. Corona virus
2. Ujinga
3. Umaskini
4. Nguvu ya hoja
5. Mahesabu
6. Mioyo ya wafuasi
7. Uzalendo
8. Uzima wa milele

Umezidi mpaka kama:

1. Umeiba na kuficha, kisha ukasahau umeficha wapi

2. Umedanganywa, kisha ukadanganya kuliko aliyekudanganya,

3. Unaposimulia tukio ambalo hukuwapo kuliko aliyekuwepo.

Kweli tumesifiwa kuwa tunajua kukimbia, tukapitiliza hata nyumbani kwetu.

Kumpiga mwanamke yeyote ni kumpiga mama yako.
Tuendelee kuchukua tahadhari kila wakati
HDJDJRF.jpg

Am speechless, huyu ndiye Baba askofu ambaye anatuchunga.

kwetu Wakristo, bila kujali madhehebu yetu, huyu ni Askofu Mkuu wetu Tanzania nzima.

nina uhakika hata akiamua leo awe shehe, Waislamu nao watamwita Mufti Mkuu Tanzania nzima.
 
Hakika ni hazina ya taifa.
 
Back
Top Bottom