share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,062
- 10,461
Mheshimiwa Mhashamu Askofu Bagonza leo wakati akitoa nasaha zake kwenye mkutano wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2020 huko mkoani Kagera amesikika akitaja mambo matatu.
Moja kati ya hayo ni kuwa Uchaguzi Mkuu huu una wakutanisha watu wawili wanaojinasibu moja kwa moja na maajabu ya Mungu. Mmoja anajiuza binafsi kuwa ameufukuza Corona virus kwa maombi na mwingine anamshukuru Mungu kwa maajabu ya kulinywa baada ya kupigwa risasi zaidi ya 30 huku 16 zikiingia mwilini.
Askofu Bagonza anawaambia Wana Kagera ni yupi anastahili kupigiwa kura. Mfukuza korona (kama kweli ni muujiza) na anayeishi baada ya kupigwa risasi 16 mwilini. Watoe uamuzi tarehe 28 Oktoba 2020.
Sisi tusiokuwepo Kagera hili pia ni JAMBO LETU. Lipi kati ya hayo mawili ni ajabu la Mungu? Kufukuza korona au kupona kipigo cha risasi 16 mwilini? JAMBO LETU tarehe 28 Oktoba 2020 liwe kwa nani?