Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Askofu wa Kanisa la Tanzania Field Avangelism ,Edson Mwombeki(42) amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi mwenye miaka 16.
Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.
credt:Mwananchi.
Mwanafunzi huyo alikwenda nyumbani kwa Askofu kujisomea pamoja na binti wa Mwombeki.
credt:Mwananchi.