Askari wote wanatakiwa kukaa kambini

Itakuwa vizuri wakiishi maisha halisi ya kishetani huko kwenye mikambi yao ya mabati mabati
 
Je! wanazo nyumba za kutos heleza kuwaweka askari wote ndani ?
Suala la nyumba hoja ya msingi.Kama ametowa tamko hawajajiandaa utasikia tunaongeza miundombinu yao imeisha hiyo.Lakini wakiweza na nidhamu ya jeshi la polisi itaongezeka.Wale chapombe watabanwa.
 

Wajenge kama zile za Kunduchi au Mikocheni kisha ndio watoe hayo matamko.
 
Majengo yenyewe hana anafikiri watakaa wapi??!!
 
Bila shaka watarudi makambini na familia zao
 
Hiyo iikuwa kuonesha mkazo kwamba serekali ifanya hima ili askari wote warudi camp.
 
Ingawa nilikuwa ni mtoto wa kambo wa askari polisi, niliweza kushuhudia shida mbalimbali zilizomtinga baba yule wa kambo. Saizi yuko zake Geita kule, njaa kali inammaliza. Alipoona nimeoa mke wa kutoka kule Geita, akaanza kunishobhokea ili niwe nampiga geki nikienda ukweni. Nilichofanya nilimfukuza mke yule faster, nikaoa m Tanga.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€
Nibora kuliko adha wanayotuletea kama kule barabarani πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…