Askari watwangana hadharani

Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Hamna kitu Kama kicho...man to man show hawana lolote, sema wakiwa na vitendea kazi na wako wengi ndio balaa
 
Acha kuchezea FFU mjomba,embu tembelea Ukonga pale ujionee.Wale jamaa siyo watu wazuri wapo wengine walienda Jordan na Marekani kupata mafunzo ya juu.Mafunzo hayo(madini) ndio wanawalisha FFU wote nchini.
Ningeshangaa kukosa hapa hizi ndizo nyuzi zako ngoja wapenda league wenzio makuruta, ma mic na ma pot wafike muanze ubishi
 
askari magereza lazima wawe vizuri think watu walioshindikana huku mtaani wao ndio wanaishi nao, unategemea watakuwa ni watu wa mchezo mchezo
Aisee kweli Leo nimekubali,mijamaa ilikuwa inavuma mithili ya jiwe la kombeo
naskia hao magereza wanatoa vodochi sio vya mchezo mchezo
polisi juzi waliwakimbia
naskia hao magereza wanatoa vodochi sio vya mchezo mchezo
polisi juzi waliwakimbia
Wapi huko?? Xaxa kumbe askari hawapendani
 
Waachane wapashe maana tunaambiwaga hata gari likikaa muda mrefu halijawashwa, injini lazima isumbue Siku ya kuwasha linakua la kutegeshea kitonga
 
Walikua wamevaa sare hao wajeda mkuu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…