Askari wangu hasimami kama mwanzo

Uongoo!!
Hata Aucho mwenyewe, kilo 80 hajafika, em weka picha tukuone hapa wee Kabufu.
mkuu hujaona mtu ni mnene lakini ana kilo chache, na mwingine sio mnene sana lakini ana kilo nyingi, me sio kwamba mnene sana ila mrefu na uzito nimepima siku tano zimepita nilikua na kg 104
 
😂😂 Obesity
 
Poleee Sana kinacho kumaliza nistrees
ni sahihi najitahidi kupunguza lakini kubadili mfumo wa maisha kuanzia ulaji, kufanya mazoezi na muda wa kupumzika ili niwe sawa..nakiri wazi kuna namna mifumo yangu imekuwa tofauti na mwanzo huenda ni sababu ya hii changamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…