Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
!
!
Na kitambi hicho unamdokoa na maigel ya kughushi tu kisha unazungushia nje unadhuka na kakatogel ya kidogo. Mwenzie atakuwa Hussein bolt
264Tueleze kwanza jamaa kafanyeje ndo uulize sheria zinasemaje. Traffic Mao ni law enforcers endapo mkosaji alifanya au kuwafanyia kitu ambacho ni ukiukwaji Wa sheria na ni jeuri, lazima nguvu itumike.
hawa maaskari wetu ukitaka ugombane nao wewe onekana unajua sheria! wajitafakariTueleze kwanza jamaa kafanyeje ndo uulize sheria zinasemaje. Traffic nao ni law enforcers endapo mkosaji alifanya au kuwafanyia kitu ambacho ni ukiukwaji Wa sheria na ni jeuri, lazima nguvu itumike.
Hata kama unajua sheria askari akiamua kutumia nguvu anatumia tu na sio kwasababu wewe ni mnyongeDuh!, Watanzania kweli wanyonge sana. Mbaya zaidi hawajui haki zao .
Hakuna sheria ya kupiga mtu hata kama amevunja sheria kabla ya kuhukumiwa. Naona askari nao wanajichukulia sheria mkononi...hapo watakuwa wameshindwana hoja tu lazima..Hawa ni askari wa usalama barabarani wakimpiga raia sijui tatizo ni nini, na imekuwa kama kawaida kwa hawa askari wa barabarani kuwavizia watu wenye vyombo vya moto na kuwafanyia mambo kama haya
kisheria sijui limekaaje wakuu?
Tueleze kwanza jamaa kafanyeje ndo uulize sheria zinasemaje. Traffic nao ni law enforcers endapo mkosaji alifanya au kuwafanyia kitu ambacho ni ukiukwaji Wa sheria na ni jeuri, lazima nguvu itumike.
Hawa ni askari wa usalama barabarani wakimpiga raia sijui tatizo ni nini, na imekuwa kama kawaida kwa hawa askari wa barabarani kuwavizia watu wenye vyombo vya moto na kuwafanyia mambo kama haya
kisheria sijui limekaaje wakuu?
Kwa hiyo mahakama zimewekwa za kazi gani wewe mtu?Katika hili sipendi kuwa ' Mnafiki ' kwa Kupepesa macho, Kutikisa masikio na Kuyamung'unya maneno kwa kusema kwamba Watumiaji wengi wa Magari wanapenda sana ' Kuwadharau ' Askari barabarani na kuna muda mwingine utakuta Mtu kabisa anatoka ' maskani ' anakuambieni kuwa leo naenda kuwazingua ' Matrafiki ' na akitiimiza hilo anarudi na kuanza kuwacheka na kuwadhihaki.
Najua kwamba wapo ' Matrafiki ' wanaozingua ila kwa jinsi hivi sasa wanavyosimamiwa vyema na Wakubwa wao na Jeshi lao na Sisi tunaopita na kukutana nao barabarani kila uchao huku tukishuhudia mengi ni dhahiri shahiri kwamba Wamiliki wengi wa Magari huwafanya vitendo vya makusudi dhidi yao na pia kumbukeni kuwa hata Wao pia ni Binadamu na wana mioyo vile vile. Tukijiheshimu na kufuata taratibu zote za matumizi ya Magari na Usalama wa Barabarani nina uhakika hizi adha / kero zitapungua kama siyo kuisha kabisa.
Kwa mfano unakuta Mtu kabisa anaona barabara imefungwa kwa muda tu ili kupisha Msafara wa Kiongozi wa Kitaifa kupita hapo halafu unaona Mtu kabisa kwa makusudi analichomeka Gari lake ' Kiubishi ' ili tu apite kwa nia ya kuiwahi huo Msafara halafu ile akitokeza tu barabarani hapo anakutaka na Pikipiki ya Polisi ya Msafara nayo ikiwa Kasi na pengine hata kuhatarisha Usalama wake na wa yule Kiongozi anayepitishwa. Hivi kwa ' scenario ' kama hii hao ' Matrafiki ' wakikupa mkong'oto wa haja utawalaumu?
Tuwe tunatafakari kabla ya kulaumu au kuwatupia Watu lawama.
Hivi unajua mtu anayepigwa anapigwaje???Hawa ni askari wa usalama barabarani wakimpiga raia sijui tatizo ni nini, na imekuwa kama kawaida kwa hawa askari wa barabarani kuwavizia watu wenye vyombo vya moto na kuwafanyia mambo kama haya
kisheria sijui limekaaje wakuu?