Kama unasafiri na gari lako binafsi kwenda mikoani hakikisha una kuwa na sh 1000 kama 30 hivi za usumbufu wa traffic.
Rushwa imehalalishwa tanzania.
Tatizo hao jamaa huwa hawakosi sababu ili mradi wakuchomoe tu!Mimi nasafiri mara kwa mara na gari langu binafsi sijawahi sumbuliwa na hao traffic sababu nafuata sheria zote za barabarani
Mbona mijimama yote traffik Tanzania imesheheni nyuma ? ni kudra za allah au hela za rushwa zinanenepesha mitako.
hahahahahaMbona mijimama yote traffik Tanzania imesheheni nyuma ? ni kudra za allah au hela za rushwa zinanenepesha mitako.
tatizo hao jamaa huwa hawakosi sababu ili mradi wakuchomoe tu!
Nimetoka Mwanza jana kuja Arusha , tulivyotoka Babati karibia tunaingia Magugu Trafick alitusimamisha , akiongea kwa lafdhi ya kichaga na huku amelewa , kwa maana ya kulewa .
Dreva wetu alimpa elfu mbili !
Wakati tunaondoka mmojawetu akamuuliza dreva umempa sh ngapi?
"nimempa buku mbili"
"umempa zote hizo za nini ? Kwani umekua mgeni leo njia hii ? Huyu anapewaga buku-buku tu ya viroba!"
Mimi nasafiri mara kwa mara na gari langu binafsi sijawahi sumbuliwa na hao traffic sababu nafuata sheria zote za barabarani